Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196
↧

HAKIKA WAMEPENDEZA BW GHALIB NA BI AIDAH

$
0
0
Naam!Wahaya wanasema 'Banula'!! Na kila mmoja alipenda namna wawili hawa walivyopendeza ni ndani ya ukumbi wa Linas Bukoba,tukio lililochukua kasi na kuwavutia watu wengi ni mwendo wa shangwe,Ndelemo ,Vikeleshendo 'nakaganja' hongera kwako Bi @aidahfaith na mmeo #gharib hongera pia @muky_da_hustler kwa shughuli ya dada yako ,hongera Mama Gharib na Da'Farida
Photo credit @bukobawadau 📸0784505045



Bi Aidah muda mchache kabla ya kuingia ukumbini

Hizi ni Swagar wakati wa kulishana



 Endelea kuwa nasi hadi mwish kwa matukio zaidi ya picha







Wakuitwa Bi Rukia Kassim
#BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043

INAENDELEA....
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>