$ 0 0 Familia ya marehemu Mzee Samuel Luangisa inapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki katika misa ya kumbukumbu na shughuli ya matanga ya Baba yao Mpendwa itakayofanyika nyumbani kwa marehemu Kitendaguro Bukoba kuanzia tarehe 13-16 July,2017