Habari zilizotufikia kutoka Muleba zinasema kuna ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo ikihusisha Gari dogo la abiria (Hiace) iliyokuwa ikitokea Muleba kuelekea mji mdogo wa Katoro wilayani Chato lililogongana na Gari kubwa la mafuta (Semi) nje kidogo ya mji wa Muleba katikakati ya Kyamiolwa na Kasharunga .
Inasemekana watu kadhaa wamefariki dunia kufatia mlipuko uliojitokeza
Endelea kuwa nasi kwa taarifa rasmi #bukobawadau