UHURU FM WAANZA LEO KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA KWA KUSAIDIA YATIMA KATIKA...
Ā Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali, akikabidhi msada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Msimamizi Mkuu wa Kituo cha kulelea Watoto yatima na wasio chini ya malezi ya wazazi wao cha CHAKUWAMA,...
View ArticleBENKI YA AZANIA YAENDELEA NA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA MAMLAKA...
Na Mwandishi Wetu.Benki ya Azania leo imeendelea na Maadhimisho yaĀ Wiki ya huduma kwa Wateja kutembelea Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) ambapo imekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo,...
View ArticleMSHINDI WA TISA WA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA APATIKANA TUNDURU
Ā Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh Juma Homera (Kushoto) akiwa na MWakilishi wa Tatu Mzuka Ā Bi Kemi Mutahaba, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiuma Bw. Joseph Mtuma Ā Wakimpongeza Mshindi wa 9 wa Tatu...
View ArticleMEYA WA KINONDONI AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUCHANGAMKIA HUDUMA...
Mstahiki Meya wa manispaa ya kinondoni Benjamin Sita Azindua huduma ya kipesa ya "DCB JIRANI" na "DCB PESA" sambamba na Makumu mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Pro. Lucian Msambichaka(kulia) na...
View ArticleHAFLA YA UZINDUZI WA TAWI JIPYA LA NMB KAITABA MANISPAA YA BUKOBA
Ā Benki ya NMB yazindua tawi jipya katika Manispaa ya Bukoba ili kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma zake kwa wateja wa benk hiyo. Tawi jipya la Benki ya NMB lijuliknalo kwa jina la KAITABA...
View ArticleDK. KESSY AWAPIGA MSASA WASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI
Ā Daktari wa Mifugo na Kilimo, Dk.Ā Aloyce Kessy akitoa mafunzo ya jinsi ya kuandaa vitalu vya miche ya papai katika kikao cha mpango kazi kwa watalaamu wa kilimo wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania...
View ArticleSERIKALI YALIPA MADENI YA NDANI BILIONI 190 KATIKA KIPINDI KIFUPI
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) akisalimiana na badhi ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kagera alipowasili katika Ofisi hiyo ili...
View ArticleKITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA KWA AJILI YA KUFUATILIA MAAFA...
Ā Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Ajira naĀ Watu wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa MaafaĀ Ofisi ya Waziri Mkuu, Jane Alfred, namna mtambo...
View ArticleSASA PICHA YA LISSU HADHARANI
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu akionekana kwa mara ya kwanza tangu alipopigwa risasi Septemba 07 akiwa mjini Dodoma.
View ArticleSERIKALI YAZIONYA TAASISI ZA UMMA ZISIZOTUMIA WAKALA WA UNUNUZI NA UGAVI...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akizungumza na Viongozi na watumishi wengine wa Wakala wa Ununuzi na Ugavi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Kagera (hawapo pichani) alipotembelea...
View ArticleAJALI MBAYA YATOKEA MULEBA
Habari zilizotufikia kutoka Muleba zinasema kuna ajali Ā mbaya imetokea asubuhi ya leo ikihusisha Gari dogo la abiria (Hiace) iliyokuwa ikitokea Muleba kuelekea mji mdogo wa Katoro wilayani Chato...
View ArticleMWILI WA MCHUNGAJI EGEBERT KANYAMBO UKIWASILI MJINI BUKOBA
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mchungaji Egebert Kanyambo likiwa limebebwa mara baada ya kuwasili Mjini Bukoba leo Jumamosi Oct 21,2017 kwa usafiri wa Ndege ya Shirika la ndege la Air Tanzania (ATCL)...
View ArticleUKAGUZI RELI YA KISASA USIKU WALETA HAMASA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wakampuni yaYapi Merkezi Abdullah Kilic,anayejenge reli ya kisasa (SGR) kutoka...
View ArticleLURDI YA BUKOBA OCT 22,2017 HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA
Jumapili ya leo Oct 22,2017 Maelfu ya waumini wa kikatoliki wameshiriki Ibada ya Hija eneo la Nyakijoga Mugana lililopo Wilayani Missenyi Picha kwa hisani yaĀ Faustin LutaĀ Taswira mbalimbali kutoka...
View ArticleMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MCH.EGBERT MWESIGWA KANYAMBO HUKO KAGOMA MULEBA
Mamia ya waumini wa madhehebu mbalimbali,maaskofu na wachungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania wamejitokeza kwa wingi kushiriki mazishi ya Marehemu Mchungaji Egebart Kanyambo yaliyofanyika...
View ArticleRAIS MHE.DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Ikulu jijini Dar es Salaam.Balozi wa China hapa nchini...
View ArticleWawakilishi wa Wanariadha wa Mkoa wa Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu (Kulia) Akiwakabidhi Vifaa vya Michezo Wawakilishi wa Wanariadha wa Mkoa wa Kagera Amosi Simon na Ferix Vineras Wanaoondoka Mkoani Hapa...
View ArticleVITUO VYA KUTABIRI MAAFA YA MAFURIKO NA UKAME VYA FUNGWA NCHINI⢠Vinapatikana...
Ā Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisisitiza umuhimu wa vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya...
View ArticleMAZIKO YA HAYATI ASKOFU CASTOR
Ā Waziri wa Nchi Ofisi ya Ā Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha rambi rambi wakati alipofika kushiriki maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la...
View Article