SERIKALI: MATUMIZI YA DOLA NCHINI HAYAATHIRI KUSHUKA KWA THAMANI YA SHILINGI
Serikali imesema kuwa kushuka au kupanda kwa thamani ya shilingi nchini hakusababishwi na bidhaa na huduma mbalimbali kutozwa kwa dola bali kunatokana na misingi ya shughuli mbalimbali za kiuchumi...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KULINDA BARABARA ZA LAMI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Joseph Nyamhanga, akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu kuhusu hatua zinazochukuliwa katika ulindaji wa...
View ArticleASKOFU CHARLES GADI AWAONGOZA WAUMINI KUWAOMBEA WALIOATHIRIKA KWA KIMBUNGA...
Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for all Ministry (katikati), akiwaongoza waumini wa kanisa lake Dar es Salaam jana,wakati wa kuwaombea walioathirika kwa kimbunga katika miji ya Florida na...
View ArticleWAZEE MKOANI KAGERA WANUFAIKA NA VITAMBULISHO VYA KUPATIWA HUDUMA ZA AFYA...
Mkuu wa Mkoa Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu afanya ziara ya kukagua huduma za afya Mkoani Kagera na kuzindua unyunyiziaji wa dawa ya kuua viluilui katika mazalia ya mbu ili kupunguza tatizo la...
View ArticleWAFUGAJI MKOANI KAGERA WATAFUTIWA UFUMBUZI WA MALISHO YA MIFUGO YAO.
Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kwa vyombo vya Habari juu ya suala hilo kama ifuatavyo:TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 13 SEPTEMBA, 2O17 Ndugu Waandishi wa Habari, Nimewaiteni hapa ili kutoa maagizo...
View ArticleTANZANIA BREWERIE’S GLOBAL BE(ER) RESPONSIBLE DAY PROMOTES SMART DRINKING
*Tanzania Breweries Limited (TBL) and AB InBev celebrated its annual Global Be(er) Responsible Day on Friday, 15th September 2017. This year’s theme “Drink Smart Today, Celebrate Tomorrow”, is focused...
View ArticleNYUMBA YA MBUNGE ZITTO KABWE YAUNGUA MOTO
Taarifa tulizozipokea muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe ya Mwandiga, Kigoma imeungua moto muda huu. Kamati ya ACT Amani inafuatilia jambo hili. Taarifa zaidi zitawajia...
View ArticleDOKTA MPANGO AIHIMIZA WAINGEREZA KUKUZA ZAIDI BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (wa tatu kushoto), akiongoza majadiliano na Ujumbe wa Wabunge watano pamoja na maafisa kadhaa kutoka nchini Uingereza, walipomtembela na...
View ArticleMAELEZO YA MBUNGE ZITTO KABWE MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI NA MAADILI
Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge [Maelezo ya ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto (Mb), mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge] Mheshimiwa...
View ArticleJWTZ YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS KUJENGA UZIO KUZUNGUKA MERERANI
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na kuoneshwa eneo la vitalu A mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa...
View ArticleSIMULIZI FUPI ZA KUSISIMUA
Nilirudi nyumbani nakukuta nyumba imefungwa, nilishangaa kwani nilijua mwanangu atakua shule na Dada wa kazi atakuepo. Lakini sikumkuta, niligonga sana mlango kwani funguo nilikua nimesahau ofisini....
View ArticleONYESHO LA COKE STUDIO LAZIDI KUMPAISHA MAFANIKIO YANGU - ALI KIBA
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema moja ya mafanikio anayojivunia nayo katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake tena katika onyesho la Coke Studio msimu wa...
View ArticleWAZIRI CHARLES MWIJAGE AFUNGUA TAWI LA KAMPUNI YA MABATI ALAF DODOMA
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage akifungua tawi la kampuni ya mabati ya ALAF Dodoma. Kushoto ni meneja mkuu Upauaji (roofing) wa Kampuni ya mabati ALAF, Dipti Mohanty...
View ArticlePROF. MBARAWA AZITAKA KAMPUNI KUTOA HUDUMA ZA MAWASILIANO SAA 24
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Prof. Norman Sigalla King (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa wananchi wa kijiji cha Kweinsewa kilichopo kata ya Nkolamo, wilaya ya Korogwe Vijijini...
View ArticleWAHANDISI WASISITIZA WASICHANA KUJITUMA MASOMO YA SAYANSI LINDI.
Mhandisi kutoka WizarayaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya barabara, Bi. LiberathaAlphonce, akielekeza jambo kwa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MJAAFISA WAPYA 422 WA JWTZ JIJINJI...
Maafisa wapya 422 wakipita Jukwaa kuu baadea ya kutunukiwa kamishenin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nan Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha...
View ArticleVODACOM YAJA KIVINGINE,YAZINDUA PINDUA PINDUA UNITS
Katikati Mwenye Kofia Ni Mkurugenzi Wa Vodacom Tanzania Bw. Ian Ferrao Akiwa Na Timu Ya Vodacom Wakati Wakuzindua Pindua Pindua Units Mbele Ya Wafanyakazi Wa Vodacom Katika Ofisi Za Kampuni Hiyo Jijini...
View ArticleKOLABO LA NANDY NA BETY G COKE STUDIO LAWA GUMZO
Baada ya onyesho la pili la Coke studio msimu wa tano kupitia luninga ya Clouds kuacha gumzo kwa washabiki wengi wa muziki,mwishoni mwa wiki katika onyesho la tatu walipagaishwa tena na kolabo za...
View ArticlePICHA DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU HAJJAT MASTURA ABDALLAH - LONDON NA KATORO
Familia ya marehemu Hajjat Mastura Abbdallah wa Katoro Bukoba imeweza kujumuhika na ndugu na marafiki kumuombea dua Mama yao mpendwa,Shughuli iliyofanyika maeneo mbalimbali wanapoishi watoto wa...
View Article