Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BI. REHEMA JUMA ANAWAOMBA MSAADA WA KUPATA MATIBABU KUTOKANA NA UVIMBE...

Bi. Rehema Juma Kishena kama anavyoonekana pichani na uvimbe unaomsumbua kwa miaka 17 sasa. Bi. Rehema Juma Kishena akiwa na mtoto wake wa ( 3) Sophia Dastan Mandia nyumbani kwa dada yake Levolosi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAKA:JUKUMU LA KULETA MAENDELEO PEMBA NI LA WOTE.

 Kaimu katibu mkuu wa umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na viongozi wa chama mkoa wa kaskazini unguja akiwa katika ziara ya kikazi  visiwani pemba. Kaimu katibu mkuu wa umoja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUA NA SHUKRANI MWAKA MMOJA KIFO CHA MZEE KASSIMU KARUANDILA - KITENDAGURO BK

 Familia ya Marehemu mzee Kassimu Karuandila wa Kitendaguro Bukoba pamoja na familia ya Bi Farida Kassimu na Mama yao Christer Karuandila inapenda kuwashkuru ndugu jamaa na marafiki wote kwa upendo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA BODI YA NNE YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KAGERA ULIOAMBANA NA...

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali (mst) Salum M.Kijuu azindua Bodi ya Nnne ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kagera ulioambatana na Duka la Dawa la Hospitali. Duka hilo ni maalumu kwa ajili ya kuuza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania rated Africa's best safari country of 2017

THE NETHERLANDS – SafariBookings.com has conducted an in-depth analysis of reviews from safari tourists and acclaimed Africa experts to determine the continent’s best country for safaris. And the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO JUMATATU AUG 21,2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANAANDIKA MBUNGE WA KIGOMA ZITTO KABWE

Suala la ndege yetu kuzuiwa nchini Canada lisifanywe ni suala la ushabiki kama ushabiki wa mpira. Ni suala la Nchi hili, na mjadala wake ni lazima uwe na hadhi hiyo. Kitendo cha Kaimu Msemaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI MKOANI KAGERA YAPOKEA VIFAA VYA AFYA VYENYE THAMANI YA MILIONI KUMI...

Bw. Charles Kato Meneja wa Mpango wa USAID Boresha Afya Mkoa wa Kagera (Kushoto) Akimkabidhi Vifaa vya Afya Mkuu wa Wilaya Bukoba Mhe. Deodatus Kinawilo Aliyevipokea Kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHERI YA SIKU YA KUZALIWA MC BARAKA

Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwake Blogger Mc Baraka #Bukobawadau napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mola kwa kuendelea kunijalia mpaka kufika hapa nilipo.Shukrani kwa Wazazi/Walezi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KAGERA ATOA MAAGIZO MAKALI KWA WANANCHI NA WATENDAJI WA...

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Kijuu wa Pili Kutoka Kulia Akisikiliza Maelezo Kutoka kwa Mhifadhi wa Msitu wa Biharamulo Mrefu Kuliko Wote  Baadhi ya Eneo la Msitu wa Biharamulo Lililoharibiwa Kwa Kuchoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATANGA YA MAMA RWEGASIRA

Paroko wa kanisa katoliki Mgana. Ibada ikiendeleaBi Joanitha Rwegasira wakati Ibada maalum ya kuwaombea wazazi wake ikiendelea.Hakika ni simanzi kubwa Mtu na shemeji yake pichani Katika picha maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 6 YA GENIUS KINGS YAFANA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shule ya Genius Kings Nusery& Primary School, Machage Kisyeri, (Kulia) akisoma hotuba.Mwalimu Mkuu wa shule, Aloyce Siame (kushoto) akimkabidhi risala Profesa Joseph Kahamba ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA SAFARI ZA PRECISION DAR HADI KAHAMA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akipokelewa na baadhi ya Watumishi wa Shirika la Ndege la Precision Air na Kampuni ya Acacia , alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kahama, mkoani Shinyanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA KATA KANYIGO WILAYANI MISSENYI

 Muonekano wa Mji Mdogo wa Kanyigo Wilayani Missenyi,mji maarufu wa Wasomi unaotenganisha nchi za Tanzania na Uganda  Kata ya Kanyigo Wilayani Missenyi ni miongoni mwa Kata chache nchini ambayo hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WANNE WA CUF LIPUMBA WAFA KWA AJALI

Viongozi wanne wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata ajali maeneo ya Ubenazomozi Mkoa wa Pwani. Ajali hiyo imetokea jana usiku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIRUKI HOSPITALI YAZINDUA KITENGO CHA KUCHUJA DAMU KWA WAGONJWA WENYE...

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda (kushoto), akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Kitengo cha Kuchuja Damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo cha Hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNDU LISSU ASAFIRISHWA KWENDA NAIROBI KWA MATIBABU ZAIDI

 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kupitia ukurasa wake wa facebook usiku huu ameandika ;Leo Alhamisi 7/09/2017, Mwanasheria Mkuu wetu wa chama chetu cha CHADEMA, Mhe. Tundu Antipas Lissu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wakisikiliza Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUONGEZA FURSA ZA WAHANDISI

Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi, akihutubia wahandisi (hawapo pichani), katika sherehe za ufunguzi za Mkutano wa 15 wa mwaka wa wahandisi uliofanyika leo mjini Dodoma.Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI KUU KUDHIBITI UKWASI WA MABENKI NA WANANCHI

Serikali imesema kuwa Benki Kuu inatekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti ukwasi ili uendane na mahitaji halisi ya uchumi kwa lengo la kuuimarisha na kudumisha utulivu wa mfumuko wa bei. Kauli...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>