NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, JAPHET HASUNGA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KALAMBO...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Greens Construction Limited, Hamimu Bakari wakati akishuka kwenye ngazi maalum...
View ArticleKANDA YA ZIWA WAENDELEA KUJISHINDIA ZAWADI ZA 'MCHONGO CHINI YA KIZIBO' YA...
Washindi wa Mchongo chini ya kizibo ya Coca-Cola ya Mchongo chini ya kizibo wakifurahi na zawadi zao, wakati wa hafla ya makabidhiano yaliyofanyika jijini Mwanza. Washindi wa Mchongo chini ya kizibo ya...
View ArticleUZINDUZI WA DARAJA LA FURAHISHA MWANZA
Rais Magufuli pia alizungumzia baadhi ya maeneo yanayotakiwa kubomolewa mkoani Mwanza. Amewaomba viongozi wa mkoani Mwanza, kusitisha bomoabomoa hadi pale atakapotoa maagizo mengine."Kwa mujibu wa...
View ArticleNYALANDU ATANGAZA KUJIVUA UBUNGE
NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia leo, Oktoba 30, 2017. HALIKADHALIKA, asubuhi ya leo...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi...
View ArticleNAIBU WAZIRI KWANDIKWA: ZINGATIENI VIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA BARABARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), ametoa wito kwa madiwani nchini kuanisha barabara zote zenye kipaumbele katika maeneo yao ili ziweze...
View ArticleWafanyakazi TAA kupatiwa mafunzo
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw.Richard Mayongela (wa tatu kulia), jana akiandika mambo mbalimbali katika mkutano na wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Mwanza. Wa...
View ArticleWASANIFU MIRADI YA UJENZI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Mhe. Elias Kwandikwa, akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Eng. Jackson Masaka pamoja na viongozi wengine wa wilaya hiyo, wakati wa...
View ArticleZitto Kabwa akamatwa Asubuhi ya Leo
:Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Afisa Habari wa Chama hicho Bwana Abdallah Khamis imeeleza kuwa KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo,Zitto Kabwe,amekamatwa na jeshi la Polisi muda huu...
View ArticleKWANDIKWA: ATEMA CHECHE KWA MKANDARASI KUONGEZA MITAMBO NA WAFANYAKAZI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (Mb), akizungumza na uongozi wa wilaya ya Kakonko, alipokuwa katika ziara ya kikazi ya ukaguzi wa ujenzi wa...
View ArticleTANZIA: MZEE ALHAJI HARUNA MUGURA AFARIKI DUNIA
Kwa masikitiko tumepokea taarifa za kifo cha c Mzee Alhaji Haruna Mugura mmoja wa wazee wa Mji wa Bukoba na mfanyabiashara maarufu ,Mazishi yake yanatalajiwa kufanyika nyumbani kwake kijijini Kanyigo...
View ArticleUMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WAANZA KUTANGAZA UTALII WA...
Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA hasa wa mikoa ya kusini mwa Tanzania ambao umekuwa...
View ArticleNYOTA WA EMPIRE AZURU NYUMBANI BUKOBA
Msanii @kokugonza mwenye asili ya Kagera,mtoto wa mzee Longino Mugalura wa Kiziba Kashasha anaye ishi na kufanya shughuli zake nchini Marekani ameonekana katika baadhi ya maeneo ya Bukoba akifanya...
View ArticleDK. KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA NA KUKAGUA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Manyara, Noelia Myonga alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya...
View ArticleNYOTA WA EMPIRE AZURU NYUMBANI BUKOBA
Msanii @kokugonza mwenye asili ya Kagera,mtoto wa mzee Longino Mugalura wa Kiziba Kashasha anaye ishi na kufanya shughuli zake nchini Marekani ameonekana katika baadhi ya maeneo ya Bukoba akifanya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Andre Bald,...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MISENYI NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera...
View ArticleUMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WATEMBELEA HIFADHI YA SELOUS...
Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (CAAT) wametembelea katika hifadhi ya ya Taifa ya Selous ili kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA. Akizungumza mwenyekiti wa umoja huo, Dkt....
View ArticleRAIS MAGUFULI NA MH.RAIS MUSEVENI WAZINDUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA...
 Rais Dkt John Magufuli amewataka maafisa wa vituo vya huduma za pamoja za forodha kujiepusha na vitendo vya rushwa na kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza urasimu ambao umekuwa kikwazo kurahisisha...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI NA MWENYEJI WAKE RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI WAWEKA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mkono na kupongezana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la...
View Article