RAIS MAGUFULI NA MH.RAIS MUSEVENI WAZINDUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA...
 Rais Dkt John Magufuli amewataka maafisa wa vituo vya huduma za pamoja za forodha kujiepusha na vitendo vya rushwa na kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza urasimu ambao umekuwa kikwazo kurahisisha...
View ArticleBUKENYA CUP 2017:Kamachumu Stend 1-1 Izigo Fc
Michuano ya kuwania kombe la #BukenyaCup2017 imeendelea leo Jumapili Nov 19,katika Uwanja wa Kalemela -Polisi Kamachumu kwa kuzikutanisha timu mbili zenye ushindani mkubwa Stend FC ya Mji Mdogo wa...
View ArticleHONGERA JOANITH JOHN KATARAIA KWA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI UVCCM...
Hongera nyingi kwako Bi Joanith John Kataraia kwa kuteuliwa kugombea nafasi ya Uongozi Baraza kuu UVCCM Taifa WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI WA UMOJA WA VIJANA WA CCM TAIFA NAFASI YA BARAZA...
View ArticlePROFESA MBARAWA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI NA WATENDAJI WA TBA JIJINI DAR ES...
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Msanifu Majengo Elius Mwakalinga, katika kikao kazi kilichowakutanisha...
View ArticleSERIKALI YA AWAMU YA TANO YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI YAFANIKIWA KATIKA...
Tangu kuzinduliwa Dirisha la Ukusanyaji Kodi kidigitali June mosi 2017 (Electronic Revenue Collection System - eRCS) ambalo lilizinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mhe. Dkt. John...
View ArticleMADIWANI WA CCM WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI JIMBO LA HAI WAKABIDHIWA VYETI
Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbola Hai ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Yohana Sintoo akikabidhi cheti cha utambuzi kwa Diwani aliyechaguliwa hivi karibuni wa kata ya Weruweru...
View ArticleNDANI YA MUJUNGI PUB BUGONZI - KAMACHUMU
Kamachumu-Muleba Ni vizuri kufanya maandalizi ya seheme unayotaka!!Basi ukifika Kamachumu Karibu #MujunguPub sehemu pekee yenye mandhari tulivu na upepo mwanana, Maegesho yenye nafasi na usalama huku...
View ArticleFULL VIDEO: SERIKALI YASISITIZA DESEMBA 31 KUWA UKOMO WA UWEKAGI WA VIGINGI...
Na Hamza Temba - Wizara ya Maliasili..........................................................................Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amesisitiza agizo la Serikali...
View ArticleMATUKIO MKESHA WA MAULID MJINI BUKOBA
 Matukio ya picha yaliyojiri kutoka Uhuru -Bukoba wakati wa Mkesha wa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka kitaifa na kuhudhriwa na Viongozi mbalimbali pamoja...
View ArticleMFAHAMU JOANFAITH J.KATARAIA MGOMBEA NAFASI (UVCCM) TAIFA
Joanfaith J.Kataraia pichani Sasa ni Mgombea halali wa nafasi ya Mjumbe wa Baraza kuu laUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa.KiDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
View ArticleSERIKALI KUBORESHA KIVUTIO CHA UTALII CHA ENEO LA BARABARA YA LAMI INAYOPITA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akiongozwa na Meneja wa shamba la Miti Kawetire, Arnorld Shoo kukagua moja ya eneo katika shamba hilo ilipopita barabara ya lami ambayo ipo...
View ArticleNDANI YA MUJUNGI PUB BUGONZI - KAMACHUMU
Kamachumu-Muleba Ni vizuri kufanya maandalizi ya seheme unayotaka!!Basi ukifika Kamachumu Karibu #MujunguPub sehemu pekee yenye mandhari tulivu na upepo mwanana, Maegesho yenye nafasi na usalama huku...
View ArticleVIDEO MKESHA WA MAULID U MJINI BUKOBA NOV 30,2017
Mjini Bukoba Waumini wa dini ya Kiislam mkoani Kagera wakiwa katika msafara wa maandamano wakati wa Sherehee za Mkesha wa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka...
View ArticleUMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MA SOPHIA KOKWONGEZA ISHENGOMA
Pata matukio ya picha mwanzo, mwisho yaliyojiri katika Shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Sophia Kokwongeza Ishengoma iliyofanyika jioni ya leo Nyumbani kwao Kibeta -Magoti Bukoba na kuhudhuria na...
View ArticleVIDEO:ZIARA YA GHAFLA YA BALOZI DR.KAMALA KATIKA KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE...
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Kamala akifanya mawasiliano mara baada ya kufika ghafla katika kituo cha Afya cha Kanyaile na kushuhudia hakuna mtu wa kutoa huduma huku ikisemekana waudumu tayari...
View ArticleVIDEO ALICHOKISEMA BALOZI DR.KAMALA KWENYE ZIARA YA GHAFLA KATIKA KITIO CHA...
MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE BALOZI DR.DIODORUS KAMALA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KITUO CHA AFYA KABYAILE NA KUBAINI CHANGAMOTO YA HUDUMA WATUMISHI,MIUNDOMBINU NA VITENDEA KAZIÂ
View ArticleKUTOKA MAGAZETINI YA TZ NA NJE LEO DECEMBER 12,2017
Vikao vya kahawa vimekuwa vikija na majawabu makubwa ya utatuzi wa changamoto tata kuanzia level ya familia hadi ya kitaifa tangu zama za wazee wetu, na leo tumeamua kuurudia utamaduni ili utupe majibu...
View Article#AzimioLaKagera
Vikao vya kahawa vimekuwa vikija na majawabu makubwa ya utatuzi wa changamoto tata kuanzia level ya familia hadi ya kitaifa tangu zama za wazee wetu, na leo tumeamua kuurudia utamaduni ili utupe majibu...
View ArticleMRADI WA KIISLAMU KARAGWE
 Uhusiano mwema baina ya waumini wa dini ya Kiislamu katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera na watu wa mataifa ya Kiarabu Mashariki ya mbali umewasaidia kuharakisha upatikanaji wa maendeleo ya huduma...
View ArticleSHUKRANI KUTOKA KWA MJUMBE BARAZA KUU UVCCM TAIFA JOANFAITH KATARAIA
Pichani kutoka kushoto ni Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Joanfaith John Kataraia katikati ni Mwenyekiti mpya Ndg Kheri Denice James .MATOKEO UCHAGUZI UVCCM TAIFA 20171. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
View Article