$ 0 0 Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC,Tido Mhando afikishwa Mahakama ya kisutu asubuhi hii ya leo kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.Tuendelee kuwa na subra kwa taarifa zaidi