Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAZIDI KUJIZOLEA MAMILIONI YA TATUMZUKA,WAZIDI KUNG'ARISHA MAISHA YAO.

Meneja Mawasiliano kampuni ya michezo ya kubahatisha ya TatuMzuka,Sebastian Maganga alisema kuwa wanayo furaha kubwa ya kuwatambulisha washindi wawili wa Tatumzuka waliopatikana tarehe 21 Januari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDESHA MNADA WA HADHARA WA MENO YA VIBOKO JANUARI 29 JIJINI DAR...

Mnada huo utafanyika katika Jengo hili la Mpingo (Mpingo House) ambalo awali lilikuwa Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii kabla ya kuhamia Makao Makuu ya Nchi mjini Dodoma. Na Hamza Temba -...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"SIKUFAIDIKA KWA KILE NILICHOKIFANYA KWA ZAIDI YA MIAKA 15"BARUA KWENDA KWA...

Jina langu ni Aslay Isihack, jina hili alinipa Mama yangu mwenyewe Bi. Mozza kutokana na maisha niliyopita ya Muziki wengi wananifahamu kwa jina la Aslay. Barua kwa Mama yangu kipenzi pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA PANDE ZA #UMURA ROCKS BUSIMBE BUKOBA HII ILIKUWA FUNGA MWAKA

Mkurungenzi wa Umura Rocks Bed and Breakfast Bukoba Ms Willielimina Balyagati pichani Mdau Rahym Kanyemela aliweza kuungana na wadau wengine katika maadhimisho ya kuukaribisha mwaka mpya 2018 Bwana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIDO MHANDO AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC,Tido Mhando afikishwa Mahakama ya kisutu asubuhi hii ya leo kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.Tuendelee kuwa na subra kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAA yarudishiwa Kiwanja cha Ndege cha Kahama

 Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhe. Elias Kwandikwa (wanne kulia), Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Bi. Zainab Telack (Mwenye ushungi) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAPEWA MIEZI SITA KUTOA MAZAO YAO NDANI YA HIFADHI YA RELI

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akipanda kiberenge kwenda kukagua ukarabati wa reli iliyoharibika kwa mvua katika eneo la umbali wa kilomita mia moja lililopo kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAKILOSA WATAKIWA KUHIFADHI MAZINGIRA KUEPUKA MAFURIKO

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora akifafanua kwa baadhi ya wajumbe wa Baraza la maafa wilayani Kilosa, umuhimu wa kuhifadhi mazingira kama njia ya kuepuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI WA UMOJA WA MATAIFA TANZANIA ARIDHISHWA NA UFANISI WA MRADI WA...

Na: Sylvester RaphaelMwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) nchini Tanzania Bw.Fred Kafeero afanya ziara ya siku tatu Mkoani Kagera kuona shughuli za mradi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"WAZIRI UMMY AIPIGA TAFU KLABU YA AFRICAN SPORTS"

Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga kushoto akimkabidhi unga nahodha wa timu ya African...

View Article

FULL VIDEO: DK. KIGWANGALLA AKITAJA ORODHA YA WATUHUMIWA WA UJANGILI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA ATAJA ORODHA YA WATUHUMIWA WA UJANGILI LEO MJINI DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Wizara hiyo Mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Aloyce...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA SHILINGI BILIONI 24.4 KUJENGA NA KUKARABATI MELI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye akipata maelezo kutoka kwa Kapteni Desiderius Chuwa wa Meli ya MV. Clarias kuhusu usalama wa chombo hicho na abiria wake kabla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU KIKWETE AFURAHIA SOMO LA MKIKITA KUHUSU KILIMO BORA CHA PAPAI

 Rais mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete akifurahi kuona papai alililopelekewa na Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Livinggreen) walipokwenda kumpa elimu kuhusu kilimo bora cha zao hilo nyumbani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA FINALI ZA #BUKENYACUP KAMACHUMU

 Muonekano wa Meza Kuu katikati ni Mdhamini wa Michuano ya BukenyaCup2017 Ibrahimu Bukenya akifatiwa na Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini Charles John Mwijage ambaye ni Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamishna Mkuu mstaafu Mwasalla atoa msaada wa sare Girl Guides

 Kamishna Mkuu wa zamani wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Faithjoy Mwasalla (kushoto), akikabidhi msaada wa sare na fulana kwa chama hicho katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya chama hicho,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAIPONGEZA HOSPITALI YA HUBERT KAIRUKI KWA UJENZI WA JENGO LA KISASA...

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinodnoni, Dkt. Festo Dugange (kwanza) na  Mama Kokushubira Kairuki ambaye ni mke wa Marehemu Hubert Kairuki (wa pili)  wakiangalia ramani ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIBA MTANDAO KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akisisitiza jambo kwa wataalamu wa sekta ya afya wakati wa kongamano la ubunifu na utekelezaji wa huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA AHITIMISHA ZIARA YAKE KOREA KUSINI

Mheshimiwa Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa kwenye mazungumzo na Bw. Chang Yaong Hun, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea Kusini....

View Article

MAKALA MAALUM YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>