Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA Inbox x

$
0
0
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na yakisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na yakisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmoja wa Marubani aliyekuja na ndege hiyo (haonekani pichani )mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili katika uwanja wa ndege wa wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.
 Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ikiwasili katika ardhi ya Tanzania wakati ikitokea nchini Marekani.
 Muonekano wa Ndege Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na furaha pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson wapili kutoka (kulia) pamoja na viongozi wengine wa Kidini na Serikali wakati ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ilipo tua katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitia sahihi pamoja na Katibu Mkuu (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho kwa ajili ya makubaliano ambayo Serikali imeikodisha Ndege yake mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner kwa Shirika la Ndege la ATCL kwa ajili ya kufanyia biashara ya usafiri wa anga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson watatu kutoka (kulia) mara baada ya Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ilipowasili katika ardhi ya Tanzania wakati ikitokea nchini Marekani
PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles