WATUMISHI WAWILI HALMASHURI YA WILAYA YA KARAGWE WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA...
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Karagwe Wamkimsikiliza Mkuu wa Mkoa kwa MakiniMkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu (Aliyesimama) Akitoa Maagizo ya...
View ArticleMtanzania ala shavu la kuwa miongoni mwa Blogers 50 duniani walioalikwa na...
Mwanablogu kutoka Tanzania Krantz Mwantepele kutoka blog ya Mwanaharakati Mzalendo amechaguliwa na serikali ya Russia kuwa miongoni mwa Blogers na social media influencers 50 dunia nzima kwaajili ya...
View ArticlePASIPOTI ZA KIELEKITRONIKI ZAZINDULIWA RASMI MKOANI KAGERA NA KUTOLEWA KWA...
Mkoa wa Kagera wazindua Rasmi Pasipoti za Kielekitroniki leo Juni 8, 2018 katika viwanja vya Uhuru Manispaa ya Bukoba ambapo Pasipoti hizo zimezinduliwa na kutolewa kwa mara ya kwanza  Mkoani Kagera...
View ArticleKATIKA IFTAR ILIYOANDALIWA NA NDG. JUSTICE MASHEKHE WASISITIZA UMOJA NA...
 Ndugu Justuce Rugaibula amefuturisha wadau mbalimbali wa Mji wa Bukoba,marafiki wa familia waliojumuika na watoto wa kituo cha NusuruYatima katika makazi yake yaliyopo maeneo ya Ibura Manispaa...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO KWA MTOTO LATIFA...
 Katibu wa Rais Ngusa Samike akimkabidhi Rehema Kadogosa ambaye ni Mama wa Mtoto Latifa Kadogosa (13) aliyelala kitandani kiasi cha Shilingi milioni tano (5,000,000/-) fedha zilizotolewa na Rais wa...
View ArticleMISA MAALUM YA FAMILIA YA MZEE MWIJAGE BIKOCHE ILIYOFANYIKA KIJIJINI KITOBO
Picha ya pamoja ya familia ya Mzee Mwijage pamoja na Baba Paroko wa parokia ya Buyango mara baada ya Misa maalum ya sakramenti ya ndoa kwa umuhimu wa familia ya Mzee Mwijage. Baadhi ya watoto wa...
View ArticleASKOFU MKUU RWAICHI AMETEULIWA KUWAASKOFU MKUU MWANDAMIZI JIMBO LA DAR
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi kuwa Askofu mkuu mwandamizi mwenye haki ya kurithi Jimbo kuu la Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Yuda...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali...
View ArticleUMATI WAMZIKA MLANGIRA PAULIN RWEZAURA
Matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli ya mazishi ya Omlangira Paulin Rwezaura yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini #Kizigo #Kamachumu Juma lililopita na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji...
View ArticleKUMBUKUMBUKU #IFTAR #RAMADHAN2018
 Matukio ya picha kwa wakati Uongozi na wadau wa Ilyah's Barbar Shop waliposhiriki #Iftar na watoto wa Kituo cha Nusuru Yatima Kilichopo Kashai Manispaa Bukoba. Matukio ya picha kwa wakati Uongozi na...
View ArticleUMATI WAMZIKA MLANGIRA PAULIN RWEZAURA
Matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli ya mazishi ya Omlangira Paulin Rwezaura yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini #Kizigo #Kamachumu Juma lililopita na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji...
View ArticleWAHANDISI CHANGAMKIENI UWEKEZAJI WA VIWANDA-MWIJAGE
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kulia) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Nchini (ERB) Eng. Profesa. Ninatubu Lema kabla ya kufungua kongamano...
View ArticleBAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019 YAPITA KWA KISHINDO BUNGENI JIJINI DODOMA
Baadhi ya Wabunge wakiongozwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia-mbele), wakati wa Kikao cha Bunge kilichopitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 32.48 kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019,...
View ArticleUMATI KATIKA MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA
Umati mkubwa wa waombolezaji wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula yaliofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bukwale-Kanyigo Bukoba. Jeneza lenye mwili wa Mlangira likiwa ukumbuni...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara...
View ArticleJAMBO TANZANIA ON MISSION
Jambo |Tanzania regional coordinator, Mr Rahym Kabyemela having a word with one of the visitors from USA. Jambo Tanzania did it againMs. Mary Kalikawe the Managing Director of Kiroyera tours sharing...
View ArticleJAMBO TANZANIA ON MISSION
Jambo |Tanzania regional coordinator, Mr Rahym Kabyemela having a word with one of the visitors from USA.Dr. Mary Banda Jambo Tanzania did it againMs. Mary Kalikawe the Managing Director of Kiroyera...
View ArticleUMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA KIJIJINI KANYIGO
Umati mkubwa wa waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Tanzania na nchi jirani za Uganda na Kenya wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula aliyekuwa diwani wa Kata Kashenye...
View ArticleDK. KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA KALAMBO, AMBAYO NI YA PILI KWA UREFU...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakifurahia kufika karibu na kina cha Maporomoko ya Mto Kalambo ambayo yapo katika wilaya ya Kalambo mkoani...
View Article