RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara...
View ArticleWAZIRI MWIJAGE ATEMBELEA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA AMBIANCE DISTILLERS (T) LTD
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametembelea na kukagua Ujenzi wa kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited watengenezaji wa Mvinyo na Vinywaji vikali ,Kiwanda hicho...
View ArticleMISA YA SHUKRANI NA SHEREHE YA KUMPONGEA PADRE EGIDIUS KATARUGA KIJIJINI KWAO...
 Pata matukio ya picha yaliyojiri katika Sherehe ya kumpongeza Padre Egidius Kataruga ((wa katikati pichani) kwa upadirisho na Misa ya shukrani #ThanksgivingMass iliyofanyika Jumatano July 4,2018...
View ArticleMAASKOFU MHASHAMU KILAINI NA RWOMA WAONGOZA MAZISHI YA BI HELENA KAKEMBWE
Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na Askofu Mkuu Desiderius M. Rwoma wa Jimbo la Bukoba na msaidizi wake Askofu Method Kilaini,katika shughuli ya Mazishi ya Marehemu Ma Helena Yakilira Kakembwe...
View ArticleKWA SASA ALIZETI NI ZAO LA ZIADA MISSENYI
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani akikagua shamba la Alizeti la Mkulima Clemence Deo lililopo kwenye kijiji cha Kashaba Kata ya Kyaka Wilayani MissenyiMbunge Balozi Dr. Kamala
View ArticleBALOZI DR.KAMALA AWAPONGEZA WORLD VISION MISSENYI ADP
 Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ametembelea miradi ya elimu, afya na maji iliyofadhiliwa na World Vision na kutoa ushauri kwa Halmashauri ya Missenyi kujifunza mbinu mbali mbali za...
View ArticleZIARA YA BALOZI KAMALA KATA KAKUNYU
 Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera ameendelea na ziara yake siku ya Jumanne July 17,2018 Katika kata ya Kakunyu -Missenyi na kuzisikiliza kero mbalimbali na...
View ArticleKWA SASA ALIZETI NI ZAO LA ZIADA MISSENYI
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani akikagua shamba la Alizeti la Mkulima Clemence Deo lililopo kwenye kijiji cha Kashaba - Kyaka Wilayani Missenyi,Zao la Alizeti limeonekana likinawiri kwa...
View ArticleBALOZI DR.KAMALA AWAPONGEZA WORLD VISION MISSENYI ADP
 Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ametembelea miradi ya elimu, afya na maji iliyofadhiliwa na World Vision na kutoa ushauri kwa Halmashauri ya Missenyi kujifunza mbinu mbali mbali za...
View ArticleZIARA YA BALOZI KAMALA KATA KAKUNYU
 Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,mkoani Kagera ameendelea na ziara yake siku ya Jumanne July 17,2018 Katika kata ya Kakunyu -Missenyi na kuzisikiliza kero mbalimbali na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya TIPER Profesa Abdulkarim Mruma  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya...
View ArticleBALOZI DR KAMALA ATEMBELEA VYAMA VYA USHIRIKA NA VITUO VYA AFYA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala anaendelea na ziara yake Jimboni kwake kwa kuvitembelea vyama mbalimbali vya Ushiriki pamoja na vituo vya Afya Changamoto iliyopo ni uhaba...
View ArticleAZIZETI MISSENYI
 Zao la Alizeti hulimwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali ambapo baadhi yake ni kama vile kutengeneza mafuta, kulishia mifugo na matumizi ya viwandani pichani Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mh.Balozi Dr....
View ArticleNAIBU WAZIRI DKT. NDUGULILE ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA KAGERA
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile atembelea hospitali ya Mkoa Kagera akiwa katika ziara yake jana July 30,2018 ya kukagua hali ya utoaji...
View ArticleUTEKELEZAJI WA MRADI WA KUUNGANISHA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mha. Kapuulya Musomba (mwenye overall ya bluu) akijadiliana jambo na Ndg. Ildefons Mnimbo ambaye ni mtaalamu kutoka kampuni ya Plasco anaesimamia zoezi la kuunganisha...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA NCHI WA MAMBO...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nchi  wa Mambo ya Nje wa Japan Masahisa Sato mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es SalaamRais...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa...
View ArticleBALOZI KAMALA ATEMBELEA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI NA KUWEKA MIKAKATI YA...
Mbunge wa jimbo la Nkenge Balozi Dr.Deodorus Kamala ametoa kiasi cha shilingi (milioni tano na laki sita ) 5,600,000/-kwa ajili ununuzi wa masanduku ya kubebea vifaa vya huduma ya kwanza (First Aid...
View ArticleBIHARAMULO YAONGOZA KWA VITUO VYAKE VIWILI KUPATA NYOTA NNE KATIKA UTOAJI WA...
 Na: Sylvester RaphaelHalmashauri za Wilaya nne Mkoani Kagera zikiongozwa na Halmashauri ya Biharamulo zapata vyeti vya utoaji huduma bora za afya kwa wananchi katika Hospitali, Vituo vya Afya na...
View ArticleSEND OFF PARTY YA TUMSIIME WILERTH YAFANA
Kwanza mlipendeza sana!!ilikuwa poa, hongereni sana Bi Tumsiime Wilerth mtarajiwa wa Bw Jackson Rwebangira,Pichani anaonekana Bi Tumsiime Wilerth akifuatana na wapambe wake wakati wanaingia ukumbini...
View Article