Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametembelea na kukagua Ujenzi wa kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited watengenezaji wa Mvinyo na Vinywaji vikali ,Kiwanda hicho kipo maeneo ya Miembeni Manispaa Bukoba kinatalajiwa zinduliwa rasmi hivi karibuni
Mwekezaji kutoka nchini Uganda,Ndugu Musis akiongea na vyombo vya habari
Mh.Charles Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akisalimia na Ndugu Musisi ambaye ni mwekezaji kutoka nchini Uganda.
Majengo ya kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited kilichopo Miembeni Manispaa Bukoba
Muonekano wa Jengo la kiwanda kipya cha Ambiance Distillers (T) Limited
Mr. Musisi pichani kushoto na Mh.Charles Mwijage Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Mr Cathbart Basibila na Mr. Porojestus Baisi ni kati ya wadau walioweza kualikwa wakati wa ziara ya Mh. Charles Mwijage