Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala anaendelea na ziara yake Jimboni kwake kwa kuvitembelea vyama mbalimbali vya Ushiriki pamoja na vituo vya Afya
Changamoto iliyopo ni uhaba wa magunia yanayotumika kusafirishia kahawa.
Balozi Dk Kamala akiongea na karani wa Chama cha ushirika cha Kilimilile
Karani wa Chamacha Ushirika cha Mwemage akitoa ufafanuzi namna Zoezi la ununuaji wa zao la kawawa linavyoendelea chini ya KCU 1990 Ltd
Anakutana na Mama aliyejifungua salama katika kituo cha zahanati ya kilimilile
Bango la Zahanati ya Mwemage.
Muuguzi wa Zahanati ya Mwemage mara baada ya kukabidhiwa vitambaa maalum kwa ajili ya kuweka kwenye mzani mara baada ya mtoto kuzaliwa
Mwisho Mbunge Balozi Dr.Kamala bado anaendelea na Ziara yake Jimboni sambamba na mikutano mbalimbali na wananchi