Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala pichani akikagua shamba la Alizeti la Mkulima Clemence Deo lililopo kwenye kijiji cha Kashaba - Kyaka Wilayani Missenyi,Zao la Alizeti limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa maeneo mbalimbali Wilayani humo hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima.
Mbunge Balozi Dr. Kamala akiwa na Mkulima wa Shamba hilo ndugu Clemence Deo pichani kulia.
Mbunge Balozi Dr. Kamala akiwa na Mkulima wa Shamba hilo ndugu Clemence Deo pichani kulia.