Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ametembelea miradi ya elimu, afya na maji iliyofadhiliwa na World Vision na kutoa ushauri kwa Halmashauri ya Missenyi kujifunza mbinu mbali mbali za kusimamia miradi na kuhifadhi vyanzo vya maji.
Balozi Dr. Kamala wakati akikagua miundombinu ya Maji iliyofadhiliwa na World Vision inayowanufaisha wananchi wa Wilaya Missenyi
Mratibu wa Kituo cha World Vision Missenyi ADP akikabidhi Risala mara baada ya kuisoma kwa mgeni Rasmi Mbunge Balozi Dr. Kamala
Mwalimu Hanifa Tayo ambaye ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mabuye -Missenyi akitolea jambo ufafanuzi kwa Mbunge
Baadhi ya wadau waWorld Vision walioambatana na Mbunge Balozi Dr. Kamala wakielekea katika Ukaguzi wa mradi wa Vyoo vya shule ya msingi Mabuye iliyopo Wilayani Missenyi
Mwalimu Hanifa Tayo ambaye ni Mwalimu Mkuu Msaidizi Shule ya Msingi Mabuye akiongozana na Ugeni uliomfikia shuleni hapo kwa ajili ya kukagua miradi Vyoo vilivyodhaminiwa na World Visioni.
Muonekano wa Vyumba vya Madara Shule ya Msingi Mabuye iliyopo Wilayani Missenyi
Muendelezo wa matukio ya picha Mbunge akisalimiana na Walimu wa Shule ya Msingi Mabuye #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala
Balozi Dr. Kamala (Mbunge) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa vyoo vya shule ya Msingi Mabuye uliohaminiwa na World Vision
Wadau wa World Vision Missenyi pichani
Wadau wa World Vision Missenyi pichani
Manahabari waandamizi katika ziara ya mbunge huyo pichani ni Diana Deus na Respicius John wa Radio Karagwe
Muendelezo wa matukio ya picha #ZiarayaMbungeBaloziDrKamala

Hali ya mMradi wa Maji uliopo katika kata ya Bulembo ni nzuri sana kama inavyo onekanakana pichani maji yakiwa yanoka
Muonekano wa Majengo katika Kijiji cha Bulembo
Vilevile Balozi Dr. Kamala ametembelea Zahanati mbalimbali ikiwemo ya Bulembo na kutoa Mashuka na Vitu vya hospital (Delivery metts)
Tank la Maji lililopo Kata ya Bulembo
Balozi Dr. Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akiendelea naZiara yake Jimboni ametembelea Zahanati mbalimbali ikiwemo ya Bulembo na kutoa Mashuka na Vitu vya hospital (Delivery metts) vinavyotumika mara kwa mara baada ya Wajawazito kujifungua.