Katika picha ya pamoja ni Wanachama wa Lugoye Social Club na Logoye 'Lugoye Women Group' walioshiriki hafla ya mwaka 2018 ya 'Lugoye Day' Iliyofanyika Kijijini Kwelima- Inshunju kwa Mzee Josephat Byemerwa.
Wanachama wa Umoja ujulikanao kama Lugoye Social Club wanaozaliwa katika vijiji vya Ishozi ,Gera na Inshunju na makazi yao yakiwa Jijini Dar es Salaam wameendelea kusherekea sherehe zao za kila mwaka ambalo limekuwa tukio la kuambatana na matendo ya huruma kwa kusaidia jamii inayo wazunguka hususani katika Vijiji Vyao.
Ambapo kwa mwaka huu wameweza kukabidhi Photocopy Mashine katika Shule ya msingi Kyelima na kwa upande wa wanawake wanachama wa Lugoye 'Lugoye Women Group' wametoa msaada wa kompyuta na Printer.

Mapema mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya shule ya msingi Kyelima iliyopo kata Inshunju. Matukio ya awali wakati wa makabidhiano ya zawadi hizo Wanachama wa Lugoye Social Club na Wajumbe wa kamati ya shule ya Msingi Kyelima.
Mwenyekiti wa Lugoye Group akiongea na Mwanahabari Benson wa Clouds Media
Mzee Matambula pichani katika Utambulisho
Mlangira Focas Lutinwa wakati wa Utambulisho
Mzee Josephat Byemerwa mwenyeji wa hafla hiyo akitoa utambulisho kwa familia yake
Mzee Josephat Byemerwa akiendelea kutoa utambulisho kwa watoto wake waliowedha kushiriki hafla hiyo iliyofanyika nyumbani kwake Kijijini Inshunju tarehe 27/12/2018.
Mzee Justus Rweyemamu na Prof.Kahamba wanachama wa Lugoye Social Club wakifuatilia kinachoendelea ukumbini
Muendelezo wa matukio ya picha #haflayalugoyeDay
Muendelezo wa matukio ya picha.