IBADA YA MATANGA YA MAMA ANASTASIA GEREVAS RWECHUNGURA KIJIJINI GERA
Familia ya Marehemu Mzee Gerevas Rwechungura wameungana na jamaa na majirani na marafiki katika Ibada takatifu ya Matanga mwaka mmoja toka alipotangulia mbele ya haki Mama yao mpendwa Ma Anastasia...
View ArticleHAFLA YA MWAKA YA 'LUGOYE DAY' YAFANA !
Katika picha ya pamoja ni Wanachama wa Lugoye Social Club na Logoye 'Lugoye Women Group' walioshiriki hafla ya mwaka 2018 ya 'Lugoye Day' Iliyofanyika Kijijini Kwelima- Inshunju kwa Mzee Josephat...
View ArticleMJENGONI KWA BW.MWEBE #BANDARI NI HAFLA YA FAMILIA KUMPONGEZA MAMA YAO MPENDWA
Hongera sana rafiki yetu, ndugu yetu Bwana Mwebe Angelo aka #MzeeBandari mzee wa Tabata, mzee Yabukoba kwa nyumba hii iliyopo Kijini kwenu #Buganguzi -Muleba ,hongera kwa uzalendo mzee....
View ArticleMUSHEMBA TRINITY SCHOOL – Nyota inayong’ara Tanzania.
Mushemba Trinity school ni shule ya kutwa na bweni inayomilikiwa na Mushemba Foundation iliyoanzishwa takribani miaka 8 na mwanzilishi wake Bw. Josephat Mushemba ambaye pia ndiye mkurugenzi mkuu wa...
View ArticleVIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KAGERA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI WAHAIDI...
Viongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoani Kagera waipongeza Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli kwa kuchukua hatua na maamuzi yanayolenga kumuinua mwananchi mnyonge ili...
View ArticleCALENDAR YA MAFUNZO YA MWAKA 2019 KUTOKA LINDAM ACADAMY
Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY Omulangira Focus Lutinwa anapenda kuwakaribisha wadau kujiandikisha kwa ajili ya kupata mafunzo ya kozi mbalimbali ,LINDAM ACADEMY ni sehemu pekee inayowakutanisha wataalam...
View ArticleHUDUMA BABU KUBWA KUTOKA COSAD TALENT VILLAGE
Huduma zinazopatikana *Imuka Lounge @ COSAD Talent Village *Dear Partners : Mbali na Huduma za Kurekodi, Ukumbi na Concerts/ Performance Space napenda kuwataarifu kuwa Huduma Zifuatazo Sasa zinapatika...
View ArticleKARIBU ARENA GRAND MOTEL KWA HUDUMA BORA ZA MALAZI
Karibu ARENA GRAND MOTEL kwa huduma bora za malazi na Chakula kwa bei nafuu kabisa ipo maeneo ya Nyamkazi Mjini Bukoba, ni sehemu tulivu kutokana na kutokuwepo kwa pilika nyingi maeneo hayo,Arena Grand...
View ArticleBALOZI DR KAMALA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBONI ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr Deodorus Kamala akiongea na wananchi wa Kijiji cha Nkerenge Kata Mutukula waliohudhuria mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana Jumamosi Feb 16,2019 katika viwanja...
View ArticleMBUNGE BALOZI DR KAMALA AMWEZESHA NA KUMPONGEZA BI SICOLASTIKA BAHATI MWENYE...
Mbunge wa Jingo la Nkenge Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala apokea kilio na kumwezesha Mama mwenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) pichani kushoto Bi Sicolastika Bahati Mkazi wa Kijiji Nyakuanga Kata...
View ArticleBALOZI KAMALA KUANDAA MKUTANO MKUBWA UJULIKANAO KAMA 'MISSENYI INVESTMENT FORUM'
TAZAMA katika Video hapo juu Mkutano wa Mbunge wa Jimbo Nkenge Balozi Diodorus Buberwa Kamala alipokutana na wananchi wa Kata ya Kasambya Bunazi Wilayani Missenyi na kusikiliza kero mbalimbali za...
View ArticleWAZIRI MKUU AWASILI MKOANI KAGERA NA KUTOA WITO KWA WAKANDARASI WAZAWA...
Na: Sylvester RaphaelWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amewasili Mkoani Kagera leo tarehe 20 Februari, 2019 kwa ziara ya siku mbili ambapo mara baada ya kuwasili...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAASA WAJUMBE WA KAMATI KUU CCM MKOA KUACHA...
Na: Sylvester RaphaelWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa katika siku yake ya pili ziarani Mkoani Kagera afanya kikao na Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa na...
View ArticleDIWANI KATA KITOBO (CHADEMA) SASA NAREJEA CCM!
Diwani wa Chadema Kata Kitobo Willy Mtayoba,aipongeza serikali ya Rais JPM na kusifia kwa dhati jitihada zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Balozi Dr Kamala
View ArticleZIARA YA BALOZI DR KAMALA YAENDELEA LEO KIJIJI CHA RUKURUNGO KATA BUGANDIKA
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ameendelea na ziara yake leo katika kijijini cha Rukurungo Kata Bugandika Wilaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la...
View ArticleBALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA KINAMAMA WA KATA ISHUNJU-KIZIBA
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akipokea zawadi kutoka kwa Vikundi mbalimbali vya kinamama wa Katika Ishunju na kumpongeza kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya, Balozi...
View ArticleMSHUMAA UMEZIMA GHAFLA R.I.P RUGE
#pumzikaruge #tutaonanabaadaeKwa masikitiko na majonzi makubwa, muda wa saa mbili usiku baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii tukio hili la kusikitisha juu ya kifo cha Ruge binafsi...
View ArticleBALOZI KAMALA:Amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi...
BaloziDr.Kamala:Tunaposema Missenyi ni pamoja na Tarafa ya Kiziba hivyo amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi kuwajibika vyema kwa wananchi na kuhakikisha usawa katika upatikanaji na...
View ArticleRC KAGERA AMALIZA MGOGORO WA WAFUGAJI NA WAKULIMA ULIODUMU MIAKA KUMI NA MOJA...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti amaliza mgogoro wa wakulima na wafugaji uliodumu kwa zaidi ya miaka kumi na moja katika Kijiji cha Kahundwe kata Chanika Tarafa Kituntu Wilayani...
View Article