MISA MAALUM YA FAMILIA YA MZEE MWIJAGE BIKOCHE ILIYOFANYIKA KIJIJINI KITOBO
Picha ya pamoja ya familia ya Mzee Mwijage pamoja na Baba Paroko wa parokia ya Buyango mara baada ya Misa maalum ya sakramenti ya ndoa kwa umuhimu wa familia ya Mzee Mwijage. Baadhi ya watoto wa...
View ArticleUMATI WAMZIKA MLANGIRA PAULIN RWEZAURA
Matukio ya picha yaliyojiri katika shughuli ya mazishi ya Omlangira Paulin Rwezaura yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini #Kizigo #Kamachumu Juma lililopita na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji...
View ArticleMAZISHI YA BI VEREDIANA KIFURA WA KARAGWE NYAISHOZI
Wanafamilia ya Mpendwa wetu Marehemu Bi Verediana Kifura wakiwa katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Bwana Bekatisa akifuatiwa na kaka yake ndugu Senjalin Tinkaligaile pamoja na mama zao...
View ArticleROSEMARY'S SEND OFF PARTY
Ni Usiku wa Bi Rosemary Romwad Muchunguzi Bi harusi mtarajiwa wa Bwana Amani Kizuguto kama anavyoonekana pichani wakati akikabidhi zawadi ya Saa maalum pamoja na zawadi kwa wazazi wake walezi Mr...
View ArticlePICHA:MAZISHI YA ASKOFU NESTOR TIMANYWA
Anaandika Baba Askofu Kilaini;Mpendwa Baba Askofu Nestor Timanywa,Wakati tunaomboleza kifo chako tunamshukuru Mungu ambaye alitupa zawadi ya baba mwema kama wewe. Ulikuwa mpole, ulimjali kila mmoja na...
View ArticleUMATI WAMPOKEA HAJJAT DOTTO (MAMA RUBBY)
Mjini Bukoba siku ya jana Umati wa Wadau waliweza kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba kumpokea Hajjat Dotto (Mama Ruby) pichani kushoto wakati akitoka Makkah katika ibada ya Hijja  Nje...
View ArticleNASAHA ZA SHEIKH HARUNA KICHWABUTA JUU YA UMOJA...
Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta amewataka Waumini wa madhehebu ya dini zote kuukataa UDINI katika jamii yetu ambayo tayari imeshajijengea heshima ya umoja na mshikamanoSheikh...
View ArticleHAJJAT ZAHARA DATTANI APOKEA ZAWADI ZA PONGEZI KUTOKA KWA NDUGU NA MARAFIKI..!
Hajjat Zahara Dattani pichani akiomba Dua kwa Allah muda mchache kabla ya kuanza kwa hafla fupi ya kupokea zawadi kutoka kwa ndugu , jamaa ,marafiki ,majirani na vikundi mbalimbali ikiwa ni katika...
View ArticleSEND OFF PARTY BI WIVINA MURUNGI YAFANA
Kwanza mlipendeza sana!!ilikuwa poa, hongereni sana Bi Wivina Murungi mtarajiwa wa Bw Jackson Rwebangira,Pichani anaonekana Bi Murungi akifuatana na wapambe wake wakati wanaingia ukumbini wakati wa...
View ArticleMATUKIO YA PICHA PANDE ZA #UMURA ROCKS BUSIMBE BUKOBA HII ILIKUWA FUNGA MWAKA
Mkurungenzi wa Umura Rocks Mdau Rahym Kanyemela aliweza kuungana na wadau wengine katika maadhimisho ya kuukaribisha mwaka mpya 2018 Bwana Ruga Baruti akipata huduma ya msosi Huduma ya kupata msosi...
View ArticleHALFA YA FUNGA MWAKA YA 'RUZINGA DAY' YAFANA
Hafla ya funga mwaka ya Ruzinga Day yafana sana,Mgeni Rasmi katika hafla ya funga ya mwaka ya wadau wa maendeleo wa kata ya hiyo,Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza...
View Article#UMURA ROCKS NA SHANGWE ZA MWAKA MPYA
 Mwaka mpya ulivyoadhimisha na wadau mjini Bukoba kwa shangwe za aina yake pande za 'Umura Rocks ' sehemu sahihi kabisa na tulivu iliyopo kilimani (Businde) pembezoni mwa Ziwa Victoria ,Hakika wadau...
View ArticleIBADA TAKATIFU YA KUMALIZA MATANGA YA KAKA YETU MPENDA JULIUS. D. MCHUNGUZI
Familia ya Marehemu Mzee Kibirango wa Kishanda Muleba wameungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada takatifu ya kumshukuru ya kumshukuru Mungu na kuwakumbuka wazazi na ndugu waliotangulia mbele...
View ArticleIBADA TAKATIFU YA KUMSHUKURU MUNGU NA KUMALIZA MATANGA YA KAKA YETU JULIUS...
 Padri akibariki kaburi la mpendwa wetu marehemu Julius Mchunguzi tunamuombea kwa  Mungu aendelee kumpa pumziko jema la milele.Wanafamilia ya Marehemu Mzee Kibirango wa Kishanda Muleba wakati...
View Article#UMURA ROCKS NA SHANGWE ZA MWAKA MPYA!
 Mwaka mpya ulivyoadhimisha na wadau mjini Bukoba kwa shangwe za aina yake pande za 'Umura Rocks ' sehemu sahihi kabisa na tulivu iliyopo kilimani (Businde) pembezoni mwa Ziwa Victoria ,Hakika wadau...
View ArticleBALOZI DR KAMALA KATIKA MKUTANO WA WADAU WA MAENDELEO YA JIMBO LA NKANGE 2019
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwahutubia wadau waliohudhuria Mkutano wa wadau wa maendeleo ya Jimbo la Nkenge uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashaui ya Missenyi...
View ArticleIBADA YA MATANGA YA MAMA ANASTASIA GEREVAS RWECHUNGURA KIJIJINI GERA
Familia ya Marehemu Mzee Gerevas Rwechungura wameungana na jamaa na majirani na marafiki katika Ibada takatifu ya Matanga mwaka mmoja toka alipotangulia mbele ya haki Mama yao mpendwa Ma Anastasia...
View Article#UMURA ROCKS NA SHANGWE ZA MWAKA MPYA!
 Mwaka mpya ulivyoadhimisha na wadau mjini Bukoba kwa shangwe za aina yake pande za 'Umura Rocks ' sehemu sahihi kabisa na tulivu iliyopo kilimani (Businde) pembezoni mwa Ziwa Victoria ,Hakika wadau...
View ArticleBALOZI DR KAMALA KATIKA MKUTANO WA WADAU WA MAENDELEO YA JIMBO LA NKANGE 2019
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwahutubia wadau waliohudhuria Mkutano wa wadau wa maendeleo ya Jimbo la Nkenge uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashaui ya Missenyi...
View Article