KWAMBA AIRTEL NI MALI YA TTCL KWA 100%: RAIS MAGUFULI
Rais Magufuli amtaka waziri wa fedha kufuatilia kwa karibu suala la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, akidai kwamba kwa taarifa alizonazo Airtel Tanzania ni mali ya TTCL Tanzania kwa...
View ArticleSERIKALI MKOANI GEITA YAJIPANGA KUTATUA KERO YA MAJI
Serikali Mkoani Geita imejipanga kutatua kero ya maji kwa wananchi inayowakabili wananchi kwa muda mrefu.Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ametoa kauli hiyo alipotembelea miradi ya...
View ArticleDK. KIGWANGALLA ATEUA WAJUMBE WENGINE WA KAMATI YA KUANDAA MWEZI WA URITHI WA...
Na Hamza Temba, Arusha..............................................................Wadau wa Utalii Jijini Arusha wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kwa kukubali...
View ArticleANTU MANDOZA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUIGIZA NA RAMSEY NOAH KUTOKA NCHINI NIGERIA
  Antu Mandoza akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji nyota wa Filamu kutoka nchini Nigeria Ramsey Noah wakiwa katika picha ya pamoja.Mwigizaji nyota wa filamu na Mkongwe wa tasnia hiyo kutoka...
View ArticleVIDEO:KAMPENI YA KUINUA MAADILI KITAIFA
Sifa za Rais wa Tanzania Zatajwa - Part one & two
View ArticleWADAU KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 'GANYIRA' @HUMURAROCKS #BUSIMBE #BUKOBA
Ndugu marafiki wapendwa Salam!!Kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya 2018 *GANYIRA* Bw.Edward Kazimoto tunapenda kukutaarifu shughuli hii itafanyika *Humura rocks*...
View ArticlePICHA SHUGHULI YA MATANGA YA OMULANGIRA DOMITIAN RUTAZIGOROKA 'KAPISI' - KIKUKWE
 Hivi ndivyo familia ya Marehemu mlangira Domitian Rutazigorokwa Kapisi ilivyoweza kuungana na jamaa na marafiki katika shughuli ya kuanua matanga ya mpendwa mzee wao iliyofanyika mwishoni mwa juma...
View ArticleHAFLA YA LUGOYE DAY ILIYOFANYIKA TAR. 27/12/ 2017 YAFANA KIJIJINI ISHOZI
 Baadhi ya wanachama wa Lugoye Social Club walioweza kushiriki shughuli ya kumaliza mwaka 2017 iliyofanyika kijijini Ishozi nyumbani kwa Mzee Justus Rweyemamu wakiwa katika picha ya pamoja na wanawake...
View ArticleTANZIA:KIFO CHA BI ANASTAZIA KOKUGONZA RWECHUNGURA WA KIJIJINI GERA
Familia ya Mzee Rwechungura wa Kijijini Gera wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Bi Anastazia Kokugonza Rwechungura kilichotokea juzi tarehe 26/12/2017 Nyumbani kwake Gera.Mazishi...
View ArticleIBADA MAALUMU KUANUA MATANGA YA LILIAN GEOFREY NJUNWAS KIJIJINI KANYIGO...
 Familia ya marehemu Herman Kiiza Njunwas wa Kanyigo imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Bi Lilian Geofrey Njunwa aliyekuwa mke wa kaka yao Bwana Geofrey...
View ArticleIBADA MAALUMU KUANUA MATANGA YA LILIAN GEOFREY NJUNWAS KIJIJINI KANYIGO...
 Familia ya marehemu Herman Kiiza Njunwas wa Kanyigo imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Bi Lilian Geofrey Njunwa aliyekuwa mke wa kaka yao Bwana Geofrey...
View ArticleDK. KIGWANGALLA NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP KUANZISHA KIKOSI KAZI CHA...
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam.....................................................................Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo...
View ArticleUMATI WASHIRIKI MAZISHI YA BI ANASTAZIA GEREVAS RWECHUNGURA WA GERA -JAN 5,2018
Jeneza lenye mwili wa mpendwa Bi Anastazia Rwechungura likiingizwa kwenye makazi yake ya milele.Familia ya Marehemu mzee Gerevas Rwechungura na Bi Anastazia wakishiriki Ibada maalumu ya kumuaga mpendwa...
View ArticleMAZISHI YA MZEE PETRO JOSEPH MUTALEMWA YALIYOFANYIKA KIJIJINI KIBENGEWE-BUKOBA
Ni simanzi na huzini mkubwa kwa familia ya Marehemu mzee Petro Joseph Mutalemwa aliyezaliwa mnamo tarehe 24.10.1922Â na kufariki Jan 6,2018 akiwa na umri wa miaka 96.Shughuli ya mazishi ya mpendwa Mzee...
View ArticleHOSPITALI TEULE YA RUBYA YAPOKEA VIFAA TIBA
 Askofu msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba mkoani Kagera Methodius Kilaini akisaini kitabu cha wageni mbele ya mganga mkuu wa Hospitali ya Rubya mkoani humo George Kasibante (kulia) baada ya yeye na...
View ArticleRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE...
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi...
View ArticleTBA YATAKIWA KUHAKIKISHA MAENEO YAO YANA HATI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, wakati alipokuwa akikagua nyumba zinazomilikiwa na Wakala huo,...
View ArticleKATIKA PICHA SHUGHULI YA MATANGA YA BI ANASTAZIA RWECHUNGURA WA KIJIJINI GERA
 Familia ya Marehemu Mzee Gervas Rwechungura wameweza kuungana na jamaa na marafiki katika shughuli ya kuanua matanga ya mpendwa mama yao mzazi Bi Anastazia Gervas Rwechungura kufuatia kifo chake...
View Article