Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

TAASISI YA TA'AWUNUL ISLAAM YAZINDULIWA RASMI KATORO-BUKOBA KATIKA BALAZA LA EID!

$
0
0
Katika picha  ya pamoja  Viongozi waandamizi wa taasisi mpya ya kiislamu iliyoanzishwa hivi karibuni ya TA'AWUNUL ISLAAM na kuzinduliwa rasmi siku ya Idd pili na Mgeni Rasmi Ndugu Hamim Mahamod (katikati) Katibu mwenezi wa CCM Mkoa Kagera,malengo makubwa ya taasisi hiyo ni kuwaendeleza Waislamu katika nyanja za elimu na uchumi.
 Hajjat Zahara Datan
 Taswira kutoka Viwanja vya Masjid Taawunul Islaam Itoma-Bukoba lilipofanyika Balaza la Eid Fitri kwa mwaka 2019.
Umaati mkubwa wa Waumini wakiwa wamehudhuria Balaza la Eid El Fitri lililofanyika siku ya Idd pili alhamisi ya tarehe 6/6/2019
IInaendelea.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>