Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YALIYOUKWAZA MJI WA BUKOBA JANA SASA YAPUNGUA NA KURUHUSU WANANCHI...

Mafuriko katika mji wa Bukoba yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha kwa muda mrefu Mei 26, 2019 sasa yapungua na maji kuondoka katika makazi ya watu ambapo wananchi nao wameanza kurejea katika makazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USICHUKULIE POA NYUMBA NI CHOO KUZINDULIWA KANDA YA ZIWA MKOANI KAGERA...

 Na: Sylvester Raphael Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuzindua Kampeini ya Kitaifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA KAMUZORA ASHAURI SEMINARI YA KATOKE KUANZISHA MASOMO YA PROGRAMU ZA...

• Wahitimu Kidato cha Sita 24 Sita Tu Kuendelea na Wito wa UpadreNa: Sylvester RaphaelProfesa Faustin Kamuzora Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera aushauri uongozi wa Seminari ya Mtakatifu Karoli Lwanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USICHUKULIE POA NYUMBA NI CHOO KUZINDULIWA KANDA YA ZIWA MKOANI KAGERA...

 Na: Sylvester Raphael Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuzindua Kampeini ya Kitaifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKO KUU LA MADINI YA TIN KAGERA LAZINDULIWA RASMI WACHIMBAJI WADOGO WAANZA...

 • Kagera Bado ni Tajiri Katika Madini ya TIN Vitalu Saba Havijawahi Kuguswa – RC GagutiNa: Sylvester RaphaelMkoa wa Kagera hatimaye wazindua Soko Kuu la Madini ya TIN Wilayani Kyerwa na mara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO YALIYOUKWAZA MJI WA BUKOBA JANA SASA YAPUNGUA NA KURUHUSU WANANCHI...

Mafuriko katika mji wa Bukoba yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha kwa muda mrefu Mei 26, 2019 sasa yapungua na maji kuondoka katika makazi ya watu ambapo wananchi nao wameanza kurejea katika makazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOMCHOMA MOTO BINTI HADI KUFA KORTINI!

 : Watu 16 wameshtakiwa nchini Bangladesh kwa mauaji ya kushtua ya binti aliyechomwa moto hadi kufa baada ya kutoa taarifa ya kufanyiwa udhalilishaji wa kingono.Kabla ya kutekelezwa kwa unyama huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA KUIBUA VIPAJI VIPYA KATIKA MICHEZO MBALIMBALI UMISETA 2019 YAFUNGULIWA...

 Na: Sylvester RaphaelMashindano ya Michezo kwa wananfunzi wa shule za Sekondari UMISETA Mkoa Kagera yafunguliwa rasmi ili kuibua vipaji katika michezo mbalimbali na kuunda timu ya mkoa itakayokwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AFURAHISHWA NA UTAYARI WA WADAU MKOANI KAGERA KUCHANGAMKIA...

Waziri wa Nishati Medard Kalemani afurahishwa na utayari wa wadau na wananchi wa mkoa wa Kagera katika kuchangamkia fursa na ajira wakati mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAFUTURISHA WATEJA WAKE WA MJINI BUKOBA .

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa benki ya CRDB wa kufanikisha Iftar ya juzi katikaViwanja vya Jaffar katika ya Mji wa Bukoba. #CRDBBank...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA TA'AWUNUL ISLAAM YAZINDULIWA RASMI KATORO-BUKOBA KATIKA BALAZA LA...

Katika picha  ya pamoja  Viongozi waandamizi wa taasisi mpya ya kiislamu iliyoanzishwa hivi karibuni ya TA'AWUNUL ISLAAM na kuzinduliwa rasmi siku ya Idd pili na Mgeni Rasmi Ndugu Hamim Mahamod...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA...

Na: Sylvester RaphaelKaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Inmi Patterson awasili Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kukagua miradi ya maendeleo katika Sekta ya Afya kitengo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA INAPANGISHWA IBWERA-BUKOBA VIJINI

Nyumba Inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la kuegesha MagariMAHALI ; IBWERA MJINI ------------------------------------Inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANZI MAZISHI YA MPENDWA 'OMWAMIKAZI' APOLONARIA LUTINWA

Huzuni, simanzi na majonzi katika Mazishi ya mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa *Omukama Lutinwa wa Kiziba* yaliyofanyika jana Nyumbani kwa familia *Omkikaale* GeraMlangira Ben...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SENDOFF YA VIOLENT ILABA ILIVYOFANA SANA!

Hongera familia ya Mzee Ilaba wa Kishanda kwa sherehe nzuri iliyo tukuka sana ni Send off ya Violent Iraba pamoja na reception ya Newly married Clifford Iraba to Catherine Rwiza tukio lililokwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA KAGERA AJA NA KAMPEINI YA SIKU TATU YA MSAADA WA KISHERIA KWA...

Na: Sylvester Raphael Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti kuwakomboa wanawake ambao wamehangaika kwa muda mrefu kwa matatizo ya kunyanyaswa kijinsia, kudhurumiwa ardhi, migogoro ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA INAPANGISHWA IPO IBWERA-BUKOBA

Nyumba Inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la kuegesha Magari,Kwa mawasiliano piga simu 0765-552-233 au Email:justusndyamu@gmail.com , joakimurweyemamu@gmail.comMAHALI ; IBWERA MJINI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA KAMUZORA AHITIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KAGERA KWA KUWAKUMBUSHA...

Na: Sylvester RaphaelWiki ya Utumishi wa Umma Mkoani Kagera yahitimishwa na Katibu Tawala Mkoa Profesa Faustin Kamuzora ambaye ni msimamizi mkuu wa watumishi wa umma katika Idara na taasisi zote za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KHERI NA BARAKA TELE OMULANGILA NESTORY MUZANILA KWA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA...

 Omulangila  Nestory Norbert Muzanila (katikati ) katika picha ya pamoja na Mapadre walioongoza Misa takatifu ya kumshukuru Mungu katika kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 70 ya kuzaliwa kwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDG JOANFAITH KATARAIA AZINDUA KONGAMANO LA ARUSHA JIJI YA KIJANI

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana Taifa ndg Joanfaith Kataraia leo amezindua Kongamano la Arusha jiji ya kijani lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>