Huzuni, simanzi na majonzi katika Mazishi ya mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa Mke wa *Omukama Lutinwa wa Kiziba* yaliyofanyika jana Nyumbani kwa familia *Omkikaale* Gera
Mlangira Ben Kataruga akibadilishana mawazo na ndugu yake Padre Kataruga.
Al hajj Salum Mohamed (Mawingo) akimfariji Mlangira Focas Lutinwa kufuatia msiba huu wa mama yake mpendwa
Mlangira Charles Lutinwa akiteta na Kaka yake Mlangira Focas Lutinwa
Waombolezaji wakiendelea kuwafariji wafiwa
Wajukuu wa Mpendwa wetu 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa wakiendelea kufanya yao
"Mungu aipokee roho yake R.I.P 'Omwamikazi' Apolonaria Lutinwa.!!