Hongera familia ya Mzee Ilaba wa Kishanda kwa sherehe nzuri iliyo tukuka sana ni Send off ya Violent Iraba pamoja na reception ya Newly married Clifford Iraba to Catherine Rwiza tukio lililokwenda sambamba na Watarajiwa wetu Bi Edina Iraba na mwenzake Dr. Emma Mkonyi sherehe iliyolindima Jana Kijijini Kabulala Kishanda-Muleba .
Mwanadada Violent Iraba akikata Keki kwa tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake
Naaam, hivi ndivyo anavyoonekana Mshereheshaji mahiri Mc Jane wa Kasibante wakati akitolea jambo ufafanuzi kwa maharusi watarajiwa
Mtanashati Clifford Iraba na mwenzake Catherine Rwiza wakati wakikata Keki maalum iliyopigwa kwa Vikolezo vya kila aina kutoka kwa mwanadada Vai_Cakes Bukoba
Taswira Ukumbini nyumbani kwa familia ya Mzee Ilaba wa Kijijini Kishanda -Muleba
Kamanda wa Polisi mstaafu, Kamishna Alfred Tibaigana na Mke wake ni kati ya waalikwa waliohudhuria tukio hilo
Kwa umakini na shahuku ya kufatilia kinajili wanaonekana wazazi wa Bi Violent Iraba ni Mzee Baltazal Iraba na Mama Violent pichani
Taswira umati wa watu ukumbini
Wageni waalikwa wakiwa wametulia na kufatilia tukio hili kupitia tv zilizofungwa Ukumbini
Hongera sana Mama Violent Ilaba kwa kufanikisha shughuli hii
Matukio yanaendelea