Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC - GAGUTI AZINDUA RASMI MSIMU WA UKUSANYAJI WA KAHAWA KAGERA 2019 BEI YA...

Na: Sylvester RaphaelMsimu wa ukusanyaji wa kahawa mwaka 2019/20 kutoka kwa wakulima hadi Vyama vya Msingi wazinduliwa rasmi Mkoani Kagera ikiwa ni pamoja na malipo ya kwanza kutangazwa kwa vya Vikuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU KILAINI AONGOZA MAZISHI YA DIANA NYAMWIHURA NYUMBANI KIJIJINI...

Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini jioni ya leo Jumamosi July 6,2019 ameongoza Umati wa Waombolezi katika Mazishi ya Mpendwa wetu Diana Leopord Nyamwihura yaliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENYEJI WATOLEWA MICHUWANO YA RWEGASIRA CUP INAYOENDELEA MJINI BUKOBA

Timu ya Rwegasira Fc Wenyeji wa Michuano ya #RwegasiraCup inayodhaminiwa na  Edward Emmanuel Rwegasira siku ya jana wameyaaga mashindano hayo hatua ya nusu fainali kwa kufungwa 2-1 na timu ya BMC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDG JOANFAITH KATARAIA MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM TAIFA LEO...

Akizungumza na Vijana katika kongamano hilo la kijani lililofanyika katika uwanja wa Magunia amewataka Vijana hao kuendelea kufanya kazi kwa Ushirikiano ili kuendelea kusaidia kutatua Kero mbali mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KAGERA KUWATIA HASIRA WAFANYABIASHARA WA MIPAKANI...

• Soko la Tanzania lipo Rwanda ardhi yao haiongezeki watu wanaongezeka – Balozi ManguNa: Sylvester RaphaelMkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti aweka mkakati kabambe wa kuwatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RWEGASIRA FC WASHINDA 1-0 DHIDI YA KIBETA

 Wenyeji wa michuana ya Rwegasira Cup timu yaRwegasira Fc ya Kitendaguro wametoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Kibeta mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa chuo cha Afya Cha Kagemu.Taswira kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA GENERALI WA MAGEREZA NCHINI AMPONGEZA RC GAGUTI KUDUMISHA ULINZI NA...

Kamishna Generali wa Magereza nchini Tanzania Phaustine Kasike afurahishwa na ushirikiano wa Serikali ya Mkoa wa Kagera chini ya Mkuu wa Mkoa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti na Jeshi la Magereza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BMC MABINGWA FAINALI ZA RWEGASIRA CUP

Mgeni Rasmi Profesa Faustin Kamuzora Katibu tawala mkoa Kagera  akikabidhi Kombe kwa  nahodha wa timu ya Bukoba Munispaa Council (BMC) ambao ndio Mabingwa wa michuano ya Rwegasira Cup 2019...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUE MITAZAMO YA VIONGOZI WETU KUELEKEA WIKI YA UWEKEZAJI KAGERA AGOSTI 12...

Tunapoelekea katika Wiki ya Uwekezaji Mkoani Kagera sasa tunakuletea makala fupi fupi ili ujue malengo ya wiki hiyo na mtazamo wa viongozi wa Mkoa wa Kagera kuelekea Wiki hiyo Agosti 12 hadi 17, 2019...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AENDELEA NA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI ....

Mh.Balozi Dr.Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ameendelea na ziara yake ya Kijiji kwa kijiji ambapo leo jumapili July 14,2017 amekutana na wananchi wa Kijiji Kabingo Kata Bugorora ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MPENDWA WETU MZEE BENJAMIN TINKALIGAILE KIJIJINI IHEMBE-KARAGWE....!

Wanaonekana Watoto wa familia ya mpendwa wetu,Mwalimu wetu Mzee Mzee Benjamini Kabindo Tinkaligaile wakiwa tayari kuweka maua kwenye kaburi la Baba yao mzazi . Mpendwa wetu Mzee Benjamini Kabindo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE WLBARD MWIJAGE KIJIJINI...

 Ni simanzi kubwa kwa Wanafamilia  ya Mzee Mwijage wa Kitobo - Kiziba Wanafamilia ya Mpendwa wetu Mzee Mwijage wakishiriki Ibada ya Mazishi ya mzazi wao  iliyofanyika katika kanisa Katoliki la Kitobo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI DR.KAMALA AKUTANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA KYELIMA NA KUTEMBELEA...

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk.Diodorus Kamala ameendelea na ziara yake Jimboni na kuongea na Wananchi kupitia mkutano wake pamoja na kutembelea Shule ya Sekondari kyelima iliyopo kata Inshunju...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATEMBELEA SHULE YA BUNAZI GREEN ACRESS

 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi dk. Kamala ametembelea shule ya Bunazi Green Acress,shule ya Kingereza inayofanya vizuri Wilayani Mishenyi na mkoa wa Kagera inayolenga kuendeleza ujuzi na vipaji vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAKALA WA KAMPUNI BINAFSI WANAOWAPOTOSHA WAKULIMA VIJIJINI KUHUSU MFUMO...

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti aagiza kukamatwa mara moja kwa Mawakala wawili wa Kampuni binafsi wanaopita vijijini katika Wilaya za Karagwe na Kyerwa kuwaposha na kuwalaghai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFIKA KANYIKO SEKONDARI NA KUJIONEA TOFAUTI NI KATIKA ZIARA YA KUZITEMBELEA...

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr Deodorus Kamala  akiwa katika ziara yake Jimboni ya kuzitembelea shuleni zote za Sekondari katika kupata usahihi wa matumizi ya mifuko 100 ya simenti aliyotoa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANYIGO MUSLIM SEMINARY WAMSHUKURU MBUNGE WA NKENGE BALOZI DR KAMALA

 Uongozi wa Shule ya Kanyigo Muslim Seminary iliyopo Kanyigo Wilayani Missenyi wamshukuru Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi dkt Kamala kwa msaada wa Saruji mifuko 100 na namna anavyopokea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM KWA TRENI YA TAZARA AKITOKEA KWENYE...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na dereva wa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KALAKANA YA UFUNDI YA SHULE YA SEKONDARI TWEYAMBE

Balozi dkt Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akipata Maelezo kutoka kwa fundi mkuu wa Kalakana ya Shule ya Sekondari Tweyambe -Ishozi mara baada ya Kutembelea Kalakana hiyo kujionea namna shughuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AHITIMISHA ZIARA YAKE JIMBONI

Katika kutekeleza wajibu wake Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi dkt Kamala akipokea hoja mbalimbali kutoka kwa wananchi waliohudhuria moja ya mkutano wa kuhitimisha ziara yake jimboni katika Kijiji...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>