$ 0 0 Mgeni Rasmi Profesa Faustin Kamuzora Katibu tawala mkoa Kagera akikabidhi Kombe kwa nahodha wa timu ya Bukoba Munispaa Council (BMC) ambao ndio Mabingwa wa michuano ya Rwegasira Cup 2019 inayodhaminiwa na Ndugu Edward Rwegasira pichani kushoto. Inaendelea....