Uongozi wa Shule ya Kanyigo Muslim Seminary iliyopo Kanyigo Wilayani Missenyi wamshukuru Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi dkt Kamala kwa msaada wa Saruji mifuko 100 na namna anavyopokea na kuzishughulikia kero mbalimbali zinazowakabili
Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Kiislam Kanyigo inayotoa Elimu kwa wanafunzi wa Jinsia zote
Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Kiislam Kanyigo inayotoa Elimu kwa wanafunzi wa Jinsia zote