Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE WLBARD MWIJAGE KIJIJINI KITOBO LEO!

$
0
0
 Ni simanzi kubwa kwa Wanafamilia  ya Mzee Mwijage wa Kitobo - Kiziba 
Wanafamilia ya Mpendwa wetu Mzee Mwijage wakishiriki Ibada ya Mazishi ya mzazi wao  iliyofanyika katika kanisa Katoliki la Kitobo Wilayani Mishenyi Ijumaa ya leo July 19,2019 mazishi yaliyohudhuriwa na umati mkubwa wa waombolezaji









 Muendelezo wa matukio ya picha
 Mbunge wa Jimbo la Nkenge Dk. Deodorus Kamara akibadilishana mawazo na Ndugu Muzzo mara baada ya mazishi ya mjomba wake Mzee Mwijage
 Sehemu yaWaombolezaji  waliohudhuria msiba huo


Taswira muda mchache kabla ya kuelekea Kanisani kwa ajili  ya Ibada ya mazishi.
Picha kwa ajili ya kumbukumbu #MazishiyaMzeeMwijage


Ndugu Ishengo Bilikwija akibadilishana mawazo na mmoja wa marafiki wa familia aliyefika msibani hapa kuwafariji
Picha kwa ajili ya kumbukumbu #MazishiyaMzeeMwijage





 Katika picha kwenye Jeneza lenye mwili wa mme wao mpendwa.
 Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mzee wenu.
Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi ya picha

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>