Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

RWEGASIRA FC WASHINDA 1-0 DHIDI YA KIBETA

$
0
0
 Wenyeji wa michuana ya Rwegasira Cup timu yaRwegasira Fc ya Kitendaguro wametoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Kibeta mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa chuo cha Afya Cha Kagemu.
Taswira kutoka Viwanja vya Chuo cha Afya Kagemu kilichopo Kata Kitendaguro Manispaa Bukoba
Ndugu  Edward Emmanuel Rwegasira pichani kushoto mdhamini na mwandaaji wa michuano hiyo akifuatilia Mechi ya kumtafuta mshindi wa tatu
 kati ya timu yake wenyeji Rwegasira Fc na Kebeta Fc
Wapenzi wa Soka wakifuatilia mchezo wa Mashindano ya Rwegasira Cup yaliyoandaliwa na Mmoja wa Watoto wa Marehemu mzee Emmanuel Rwegasira aliyewahi kuwa Mbunge wa Bukoba Vijijini na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bukoba ni katika Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Manispaa Bukoba.
 Viongozi wa timu Rwegasira Fc walioibuka kidedea kwa kuichapa bao 1-0  timu ya Kibeta Fc.
Mtanange ukiendelea Uwanjani
 Benchi la Wachezaji wa Timu ya Rwegasira Fc.
 Muendelezo wa matukio ya picha Uwanjani Rwegasira Fc 1-0 Kibeta Fc.
Mpambano wa kutafuta mshindi wa tatu,Michuano ya Rwegasira CUP 
...


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>