Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini jioni ya leo Jumamosi July 6,2019 ameongoza Umati wa Waombolezi katika Mazishi ya Mpendwa wetu Diana Leopord Nyamwihura yaliyofanyika Nyumbani kwao Kijijini Bubuga, Kitobo- Kiziba Wilaya ya Missenyi.
Wanafamilia ya Marehemu Ta Leopold Rwenyembani Nyamwihura wa Kitoba wakiwa wameungana na ndugu na marafiki katika Ibada takatifu ya mazishi ya mpendwa wao Diana Nyamwihura
Mzee Masabala na Mzee Mtafungwa wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Moendwa wetu Diana Nyamwihura yaliofanyika Kijijini Bubuga-Kitobo,Kiziba.
Umati wa waombolezi wakishiriki Ibada ya maziko ya Mpendwa wetu Diana Nyamwihura.
Ndugu wa familia katika nyuso zenye huzuni mkubwa.
Salaam za rambirambi zikitolewa kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea
Mzee Julius Caesar akitoa salaam zarambirambi kwa niaba ya marafiki wa familia ya Nyamwihura

Baba Askofu Methodius Kilaini akisimika Msalaba kwenye kaburi la Mpendwa wetu
Wanafamilia wakiendelea na Utaratibu wa kuweka maua kwenye kaburi
Adv.Protas Ishengoma akielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mpendwa wetu Diana Leopold Nyamwihura.
Bi Mercy na BiJeanifer murungi kichwabuta wakiweka shada la maua
Mzee Lambart akiweka shada la maua
Mzee Masabala akiweka shada ya Maua
Wanafunzi Marafiki (wanafunzi) waliosoma nae sekondari ya Nyakato wakati huo wakiweka shada la maua.
Bi Mercy mbele ya kaburi la Moendwa Rafiki yake Diana Leopord Nyamwihura
Marafiki katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu.
Matukio ya picha yanaendelea...
Tunamuombea Mwenyezi Mungu aipokee roho yake kwa amani,
R.I.P Dada Diana Nyamwihura.
R.I.P Dada Diana Nyamwihura.