Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

AMBULANCE YAPATA AJALI MJINI BUKOBA

$
0
0
Pichani linaonekana Gari la kubebea Wagonjwa 'Ambulance'likiwa limetumbukia kwenye mtaro,tukio hilo limetokea jioni ya leo Feb 10,2013 maeneo ya Uswahili Bilele.
Taarifa za hawali zinasema Ambulance hiyo ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji Bukoba iliyo nunuliwa na Mh. Mbunge Balozi Khamis Kagasheki,Imepata ajali wakati ikiwa inaendeshwa na kijana muosha magari ikiwa ni baada ya kuachiwa na Dereva wake wa siku zote anaye tajwa kwa jina la Salum Japan.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>