Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA 7-0 COMOROZINE CHECK TASWIRA UWANJA WA TAIFA LEO FEB 8,2014

 Mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa , haya ndio matoke ya mchezo wa Klabu bingwa barani Africa kati ya Yanga na Komorozine uliochezwa hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar salaamBao la nne la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ATEMBELEA BANDA LA BIASHARA LA KAMPUNI YA PRIVATE SAFARIS...

Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Bi. Delphine Coussie wa Kampuni ya Private Saris inayoshiriki Maonyesho ya Utalii Brussels....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEB 9,2014

MAGAZETI YA JANA FEB 8,2014 HAPA CHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA HABARI WA MWANANCHI AMEJERUHIWA

Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd mkoani Mara, Christopher Maregesi amejeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Bunda, baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa moja ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB...

FEB 15, 2014 Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani, Watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG .Usiku huo hatuangalii Vivazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE

Washiriki wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live.Klabu mwenyeji, Kejo Community wakiwa jukwaani wakicheza kwa furaha katika Bonanza hilo.Msanii wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UTALII YA BEL AFRIKA YA UBELGJI YATANGAZA VYEMA TANZANIA BRUSSELS

Bi. Laurence Joiris wa kampuni ya Bel Afrika ya Ubelgiji akinadi vivutio vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea Brussels. Dr. Remo wa Ubelgiji akifurahia kahawa ya Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA UCHAGUZI WA MADIWANI CCM KATA 24 CHADEMA KATA 3

Diwani wa Kata ya Tungi Mh Deogratius Paul Mzeru (Morogoro|) Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema anadaiwa kupigwa na kujeruhiwa na Polisi eneo la Sombetini. Atokwa machozi, ashindwa kuongea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARUSI YA AINA YAKE 2014 YAFANYIKA NDANI YA NEW COFFEE TREE HOTEL BUKOBA FEB...

 Maharusi wetu Bw. Mudy Ali na Bi Shadia Nizar Jaffari wakiingia ndani ya ukumbi wa New Coffee Tree Hotel, mchana wa leo Jumapili Feb 9,2014.Ni harusi yenye muonekano wa Kidini kwa namna Maharusi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UKUPATA BAHATI YA KUIONA HARUSI YA MWAKA 2014 HIVI NDIVYO HALI ILIVYO...

CHECK VIDEO HAPA CHINI ILIVYO KUWA NDANI YA UKUMBI WA NEW COFFEE TREE HOTEL MCHANA WA LEO JUMAPILI FEB 9,2014,PICHA ZAIDI NA MAELEZO YAPO KATIKA HABARI INAYOFUATA KWA CHINI USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU FEB 10,2014

SHUKRANI KUBWA KWAO THE WALKGARD TRANSIT HOTEL BUKOBAThe Walkgard Transit Hotel.ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wasambazaji wa ving'amuzi vya Star Times Mjini Bukoba,Star Times wana lengo la kuifanya kila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMU TUKIELEKEA SIKU YA WAPENDANAO 'VALENTINE DAY'

Unaweza usijue mtu uliyenaye anakupenda kiasi gani kwa sababu ya mazoea, unachukulia Mapenzi yake, I love you zake, Chakula anachokupikia, Kukufulia nguo, na Zawadi anazokupa, kama mazoea... Ukawa busy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMBULANCE YAPATA AJALI MJINI BUKOBA

Pichani linaonekana Gari la kubebea Wagonjwa 'Ambulance'likiwa limetumbukia kwenye mtaro,tukio hilo limetokea jioni ya leo Feb 10,2013 maeneo ya Uswahili Bilele.Taarifa za hawali zinasema Ambulance...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO KATIKA KUMBUKUMBU MWAKA 1997 KIKOSI CHA RTC KAGERA CHAIZUIA SIMBA KUTWAA...

Leo katika kumbukumbu na Bukobawadau Blog, Mwaka 1997 michuano ya ligi kuu tanzania bara ikiwa ukingoni kabisa ambapo mchezo wa mwisho ulifanyika Mjini hapa ndani ya uwanja wa kaitaba kati ya Simba Fc...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA MPYA ALIZOTUPIA NICK MINAJ

Nicki Minaj and that fierce ponytail deserves two snaps and a twirl.Just a few days after she teased a few behind-the-scenes photos from a new shoot, Nicki Minaj has shared a few of the final images...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJILI OBAMA ALIPOKUTANA NA KAKA YAKE (OBAMA REUNITES WITH LONG -LOST...

 Utapa kuona Video ambayo haijawahi kuonekana kabla, ikijaribu kuonyesha kitendo kimoja cha kushangaza kidogo,  ni pale ambapo Rais wa Marekani Barack Obama na kaka yake wa Baba mmoja Mark Obama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TALANTA YOUTH CAMP:

                                                      TALANTA YOUTH CAMP: “COACHING AND MENTORING FOR LIFE ENHANCEMENT” PLACE/VENUE: Talanta Hostel, Ubungo – Kibangu Dar es Salaam (1 Km from Riverside,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MCHUNGAJI JACKSON JAMES KABUGA JIONI YA LEO FEB...

Kinacho endelea  katika picha ni Ibada ya heshima kwa mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga , Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God lililopo Hamugembe ndani ya Manispaa ya  Mji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUSH OR OBAMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

President Kikwete meets British Foreign Secretary William Hague in London today

 President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets British Foreign Secretary William Hague in his London office this evening. The two leaders then held talks on bilateral issues concerning their two countries....

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>