WAHAYA NA ZAHAMA KWA KINAMAMA
Na Prudence KarugendoWAHAYA ni kabila maarufu linalopatikana kwenye eneo la Bukoba katika mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania.Kabila hilo ni moja ya makabila yaliyowahi kustaarabika na...
View ArticleUGANDA YAPEWA ONYO JUU YA UWEZEKANO MKUBWA WA SHAMBULIZI LA KIGAIDI
Ubalozi wa Marekani Kampala wasema kuna ishara kwamba jumba la makumbusho la kitaifa ni mojawapo ya majengo yanayolengwa na magaidi Ubalozi wa Marekani nchini Uganda umeonya juu ya uwezekano wa kutokea...
View Article'KATARUGA POOL TOURNAMENT' HATUA YA NUSU FAINALI NDANI YA COFFEE TREE HOTEL...
Mashindano ya mchezo wa 'Pool table' yanayoendelea katika hotel ya New Coffee Tree Iliyopo Mjini hapa ya kumtafuta Bingwa wa Coffee Hotel chini ya udhamini wa Mdau Ben Kataruga yamefikia hatua ya nusu...
View ArticleHIVI NDIVYO DR.KITILA ALIVYO MJIBU NGURUMO
Ndugu Ngurumo, Nashukuru sana kwa maoni yako . Mimi binafsi ni muumini wa kutofautiana kimawazo katika msingi wa hoja. Siogopi hata kidogo mtu kupinga hoja zangu madamu tu anafanya hivyo kwa hoja....
View ArticleYULE ALIYEJINYONGA JUU YA MTI HIVI MAJUZI
Picha ya Marehemu Bahati enzi za uhai wake,Lile tukio lililotokea yapata juma moja lilipita tarehe 7 fEB, 2014 pichani huyu ndiye aliyekutwa amajinyonga maeneo ya fukweni Mjini hapa, jirani na ilipo...
View ArticleKAMATI KUU YA CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana kwa ajili ya kikao cha dharura, Februari 14, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.Katika kikao hicho, Kamati...
View ArticleNJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO...
Hii ni moja ya Live Performance ya Wimbo wa John Legenda wa All on Me ulioimbwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band.Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akiimba kibao cha John Legend kinachobamba duniani...
View ArticleCHIZA DHIHIRISHA WEWE SIO MZIGO
Na Prudence Karugendo WAKATI Rais Kikwete akielekea kumaliza muda wake wa uongozi wananchi wamechachamaa kutokana na mambo kudorora katika serikali yake. Ikabidi chama tawala, CCM, kiingilie kati na...
View ArticleLOWASSA,SUMAYE,NGELEJA WAJIELEZA KAMATI YA MANGULA
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Edward Lowasa akizungumza na Waziri Mkuu wa Zamani Ndugu Fredrick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Dodoma...
View ArticleVALENTINE SPECIAL-FEB 14, 2014
Hakuna hata mmoja asiye na mapungufu kwenye mahusiano, tukiamua kuangaliana kwa kuchunguzana makosa na mapungufu yetu basi kila mmoja atajikuta hakumstahili mwenzake. Nikweli kabisa kwamba makosa na...
View ArticleYALIYOJILI USIKU WA VALENTINE NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 14,2014
Wadau wa Mji wa Bukoba wameweza kusherekea usiku wa Valentine Day kwa style ya aina yake. Meza ya wageni walioshiriki shangwe za usiku huu Feb 14,2014Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya usiku wa...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI NDOGO YA MABALOZI WA AFRIKA,...
Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Ndogo ya...
View ArticleJAHAZI YATISHA USIKU WA VALENTINE DAR LIVE
Nyomi ya wapendanao ikifuatilia kwa makini burudani.Zawadi za Valentine zikiuzwa ndani ya Darlive kama zilivyonaswa na kamera yetu.Mnenguaji wa Jahazi akifanya yake.Dada huyu alishindwa kujizuia...
View ArticleTUNDA LA HAYATI DK MVUNGI KWA WATANZANIA
Dk Natunjwa Edmund Adrian Sengondo MvungiDk Natunjwa Edmund Adrian Sengondo Mvungi, ni mzaliwa wa kwanza wa aliyekuwa kingunge wa sheria, Dk Sengondo Mvungi (61) ambaye Oktoba 12, mwaka jana alivamiwa...
View ArticleJAGUAR;MWANAMUZIKI MILIONEA ALIYEANZA KWA KUOSHA MAGARI
Zipo baadhi ya kauli za Wahenga wa Kiswahili ambazo siyo rahisi kutimia au uhaliasia wake kuonekana kwa haraka katika maisha ya kila siku.“Hata mbuyu ulianza kama mchicha” Kauli hii maarufu katika...
View ArticleKONGAMANO LA WANAWAKE WA KIISLAMU WILAYANI NGARA
Wanawake wa kiislamu wametakiwa kutambua umuhimu wao katika dini ikiwa ni pamoja na kulinda maadili kwa kuzingatia mafundisho ya Mwenyezimungu na mtume Mohamadi SAW Wito huo ilitolewa juzi na kiongozi...
View ArticleBOB JUNIOR; MSANII ‘ALIYEVAA VIATU’VYA BABA YAKE
Samaki mkunje angali mbichi, akishakauka atavunjika. Tafsiri ya usemi huu haimaanishi kutumia nguvu, badala yake maarifa yatumike kwa namna yoyote ili kumfundisha mtoto afuate mstari mwema wa maadili,...
View Article