FANYA KUPITIA PICHA NBA ALL-STAR-GAME-CELEBRITIES-PERFORM FEB 17,2014
The All-Star stage is meant to be a shared space, a broad platform designed to support the NBA’s greatest talents and egos all at once. Kobe Bryant has never been much for sharing, though.Sixteen years...
View ArticleRUBANI ALIYETEKA NDEGE YA ETHIOPIA AJISALIMISHA!
Maafisa wa Polisi wakisaidia abiria kutoka kwenye ndege hiyo ya shirika la ndege la Ethiopia iliyokuwa imetekwa. Rubani msaidizi wa ndege ya Shirika la ndege la Ethiopia iliyokuwa ikielekea Roma,...
View ArticleCAMERA YETU MTAANI LEO JUMANNE FEB 18,2014
Camera yetu katika hekaheka za hapa na pale, inakutana na Kijana Yusuph Wastara (katikati)akiwa katika moja ya harakati zake. Taswira ilivyo katika maisha yetu ya kila siku.Mdau Valerian Rugalabamu,...
View ArticleMH.PANDU KIFICHO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA
Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena...
View ArticleUCHAGUZI WA MADIWANI KATA 27 CHADEMA KIDUME!!
Na Prudence KarugendoUCHAGUZI mdogo wa madiwani uliofanyika Jumapili iliyopita katika kata 27 nchini umenifunulia kitu kimoja muhimu. Baada ya kuutafakari uchaguzi huo mara moja nimegundua kwamba...
View ArticleWATAKIWA KUANDIKA NA KUTANGAZA HABARI ZA UCHUNGUZI
Wanahabari wa kituo cha radio kwizera katika wilaya ya ngara mkoani kagera wametakiwa kuandika na kutangaza habari za uchunguzi ili kuondoa ama kupunguza changamoto mbalimbali zilizoko kwenye jamiiWito...
View ArticleBALOZI KAMALA AMTEMBELEA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI YA JIMBO LA FLANDERS LA...
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi zawadi Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Jimbo la Flanders la Ubelgiji Mhe. Kris Peeters. Balozi Kamala amemtembelea Mhe. Kris Peeters leo...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU BI VERDIANA PETRO KYAMANI UKIWASILI MJINI HAPA LEO FEB 19,2014
Uwanja wa ndege mjini Bukoba .Ndege maalumu yenye mwili wa Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani ikiwasili mjini hapa, kutokea jijini Dar es Salaam na Kupokelewa na ndugu na marafiki wa familia,Mchana wa...
View ArticleWAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA LILILOPINDUKA NA KUTEKETEA...
Lori la mafuta limeanguka na kuteketea kwa moto jioni ya leo katika eneo la milima ya sekenke mkoani Singida na kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha hapohapo (idadi yake haijathibitishwa Jeshi la...
View ArticleMACHACHE KUTOKA BUNGENI LEO FEB 20,2014
Kutokana na bunge kutokuonywesha ama kutangazwa kwenye vyombo vya habari, wananchi tumekua tukipata habari kidogo na za kudokoa dokoa. Kwa kupitia social media nyingine kuna wajumbe wamekuwa...
View ArticleHALI SI HALI HUKO UKRAINE WATU 22 WAUAWA
Watu 22 wameuawa katika ghasia zilizozuka upya kati ya waandamanaji na polisi mjini Kiev Ukraine, baada ya makubaliano yaliyofikiwa kutibuka. Watu nchini humo waelezea kujionea mabomu ya petroli ,...
View ArticleHIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VELENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BANDNDANI YA THAI...
Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band.Mashabiki wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure...
View ArticleBALAA:MOTO WATEKETEZA NYUMBA YA MDAU MAMA PAMBA BUKOBA
Sehemu ya ya Nyumba ya Mdau Mama Pamba iliyopo Rwamishenye Bukoba usawa wa barabara kuu ya Kibeta ikiwa imeteketea kwa moto Awali ya yote ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwani hakudhurika mtu katika ajali...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU OMULANGIRA CYPIRIAN IJUMBA KUFANYIKA KESHO JUMAMOSI FEB...
Picha ya Marehemu Omulangira Cypirian Ijumba, aliyefariki siku ya jumatano feb 19,2014. Shughuli ya mazishi itafanyika siku ya kesho jumamosi feb 22,2014 Nyumbani kwake kijijini Nyangoma Kanyigo...
View ArticleSHUGHULI YA NDOA YA BWANA WILLBROAD WILLIAMU MTAFUNGWA NA BI YUSTINA...
Bwana Willbroad Mtafungwa ambaye ni mkuu wa polisi wa wilaya ya Kinondoni na Bi Yustina Rwechungura katika picha ya kumbukumbu nje ya katina la KKKT lililopo Kyaka Wilayani Missenyi Mkoani Kagera...
View ArticleURAIS 2015:MBONA HATUMUANGALII JAJI BOMANI?
Na Prudence Karugendo Tumeingia 2014 wakati homa ya urais ndani ya vyama vya siasa, hususan CCM, ikiwa juu. Nimeishaandika kwamba suala hili la wagombea kujulikana mapema, kwa uzoefu tulionao hapa...
View ArticleKATIKA PICHA AJALI YA MIKESE ILIYOPELEA KIFO CHA MDAU UMUDI KALAMULAHI LEO...
Ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana uso kwa uso katika eneo la mikese Morogoro na kupelekea kifo cha dreva mmoja ,Marehemu Ubuhi Kalamulahi wa Ilogelo Kamachumu,Moja ya gari hilo likiwa Lori la...
View ArticleUSIKU WA WILLBROAD MTAFUNGWA NA JUSTINA RWECHUNGURA NDANI YA KIOTA CHA LINAS...
Maharusi wetu Bwana Willbroad Mtafungwa na Bibi Justina Rwechungura wakiwa wamesimama muda mchache baada ya kuingia ndani ya ukumbi wa Linas Night Club.Ndani ya Ukumbi wa Linas Club Bukoba ndivyo...
View Article