UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO: RED CARPET YA DAR LIVE!
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo.Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake.Baadhi ya safu ya wanenguaji wa kike mahiri wa Extra Bongo.Wanenguaji katika...
View ArticleUONGOZI KCU(1990) Ltd UNAUKOMBA NA KUUZIKA USHIRIKA?
WAKULIMA wanaounda ushirika wa KCU (1990) Ltd. mkoani Kagera wameamua kupiga kelele bila kuchoka, hata kama kelele hizo hazionekani kusikilizwa na yeyote kati ya wale waliolengwa kuzisikiliza. Wao,...
View ArticleChangamoto ya Zao la Vanilla ni Soko au Uzalishaji?: Mtazamo wetu Maruk...
Vanilla inapanda na kushuka kama zao mbadala la kibiashara mkoani Kagera. Historia ya zao hili mkoani Kagera inaenda nyuma kuanzia miaka ya 1940. Lakini ni miaka ya hivi karibuni ndipo vanilla imepata...
View ArticleTHE WINDHOEK DRAUGHT "BLACK PARTY"
Don’t miss the Windhoek Draught “BLACK PARTY” this Saturday 1st March 2014… On the wheels are East Africa’s Finest DJ Tibz & DJ Mr. Tee (From Kenya) and DJ Peter Moe (Tanzania)… Location Golden...
View ArticleBALOZI KAMALA AONGOZA KIKAO CHA MASHAURIANO ADDIS ABABA ETHIOPIA
Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Mashauriano ya nchi za Afrika...
View ArticleUSIKU WA MDAU ALBAN WENFUREBE NA ANITA GOSBERT
Matukio ya Harusi ya Mdau Bw.ALBAN WENFUREBE na Bi ANITA GOSBERTH iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita katika ukumbi wa Water Front Jijini Dar es Salaam,baada ya ndoa takatifu iliyofungwa katika...
View ArticleJINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
Habari za leo Mdau,Nimeona nikupe update ili watu wa ulimwengu wa tatu tujue jinsi ya kukabiliana na changamoto.Pichani ni dalala maarufu hapa Manila City Philippines. Hii ni nchi inayo endelea kama...
View ArticleNYAKIBIMBILI, KITAHYA,KANAZI ,KATERERO ,KYAKA NA CAMERA YETU FEB 25,2014
Katikati ya daraja la Kalebe-Nyakibimbili ndani ya Wilaya ya Bukoba Vijijini linalotegemwa kwa wananchi wa Vijiji vya Izimbya. Rubale. Katoro, Kaibanja,Mugajwale na Katerero Kemondo. Daraja la Kalebe...
View ArticleKUTOKA KWA MDAU PRIVATUS MUTUNGI
Naitwa Privatus Mutungi, nawapongeza sana kwa kutoa habari za nyumbani na kutukumbusha mambo mengi yanayohusu bukoba na Kagera kwa ujumla. Nawaomba wadau wa habari na burudani kutumia blog hii...
View ArticleMIZIKI YA INJILI NI BIASHARA NDANI YA HEKALU
Na Prudence KarugendoMWANAMUZIKI mmoja, au niseme mwimbaji, kwa vile muziki wa sasa, hasa huu unaoitwa wa kizazi kipya au Bongo fleva, hauhitaji vyombo vya muziki zaidi ya waimbaji kupeleka mashairi...
View ArticleVIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA...
Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum...
View ArticleCAMERA YETU MTAANI LEO JUMATANO FEB 26,2014
Jengo linaloendelea kwa ujenzi lililopo eneo la Kagabilo Kibeta mjini BukobaMasikani kwa Marehemu Tibaijuka aliyekuwa mme wa Mama Anna Tibaijuka Jengo la Utawala la Shule ya wasichana ya Kajumulo...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU TA MARCO M KAHWA
Leo feb 27,2014 ni mwaka mmoja tangu umetutokami ,Tarehe ya leo ni siku ambayo hatuwezi kuisahau kamwe. Ni siku ambayo ulituacha familia yako katika majonzi makubwa sana. Ingawa hatukuoni, hatuongei na...
View ArticleUAMUZI WA MUSEVENI WAITIA KIWEWE MAREKANI
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi Kampala. Siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni kusaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsi moja, Marekani imesema inaangalia upya uhusiano wake na nchi hiyo...
View ArticleYALIYOJILI KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MWANADADA ASIYECHUJA ASIMWE (NGEMELE)...
Usiku wa jana Jumatano feb 27,2014 ilikuwa Birthday Party ya mwanadada asiyechuja Bi Asimwe Ngemela pichani maarufu kama Asimwe Katalaiya. Party hiyo ya Birthday ilikuwa full mambo ya pwani ,full...
View ArticleJUU YA KITENDO CHA USTAADH JUMA NA MUSOMA KWA MSANII PNC
Kitendo cha Ustaaz Juma na Musoma kuweka Picha hii pamoja na Video yake kwenye Mitandao ya Kijamii ambayo Inayomuonyesha Msanii wa Kizazi Kipya aitwaye PNC a.k.a Shino akiwa Anamuomba Msamaha.... Kwako...
View ArticleNCHINI UGANDA WANAWAKE WAANDAMANA KUMPINGA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA...
Baada ya rais Yoweri Museveni wa Uganda kupitisha sheria ya marufuku kwa wanawake Kutembe utupu barabarani, na kutaka wanawake wa nchi hiyo kujistili miili yao. Wanawake hao eti wameandamana na kudai...
View ArticleATEMBEZWA UCHI BAADA YA KUSHUKIWA KUTEMBEA NA MKE WA MTU!(tunaomba ladhi kwa...
(Wadau tunaomba ladhi kwa picha hii)Mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika,ashukiwa kutembea na mke wa mtu na kupewa adhabu ya kutembezwa uchi mji mzima wa Dar Live bila Chenga samora hiyo.Baada ya...
View Article