Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza kikao cha Mashauriano ya nchi za Afrika Mashariki kuhusu muundo na majukumu ya ACP baada ya mwaka 2020. Kikao kinafanyika Ethiopia, Addis Ababa.