UMOJA WA MATAIFA WAZINDUA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA RWANDA
Mmoja wa manusura wa mauaji ya maangamizi ya Rwanda ya mwaka 1994 akíwaombea wahanga wa mauaji mbele ya mafuvu yao katika kaburi la pamoja la Nyamata.Umoja wa Mataifa umewasha mwenge kuzindua mkururo...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA JIONI YA...
Ibada ya Mazishi ya marehemu Marehemu Balozi Fulgence Kazaura imeongoza na Mhashamu Methodius Kilaini Rais Jakaya Kikwete pichani katika akishiriki katika Mazishi ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura...
View ArticleVITUKO VYA WANANCHI BAADA YA GARI LA BIA KUANGUKA MAENEO YA KEMONDO JIONI YA...
Ni ajali iliyotokea jioni ya leo Jumamosi marchi 1,2014 majira ya ya saa kumi alasiri ambapo gari gari aina ya Semi Trela mali ya kampuni ya Zachwa Investment ya Mjini Bukoba lililokuwalimesheheni...
View ArticleMTANGAZAJI WA CHANNEL TEN SALUM MKAMBALA APATA AJALI
Mtangazaji wa Channel Ten, Salum Mkambala (pichani) amepata ajali ya gari ambalo alikuwa akiendesha kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten ambaye...
View ArticleCHAMA KIPYA CHA ACT CHASHUSHA BENDERA ZA CHADEMA KIGOMA
CHAMA cha Alliance For Change and Transparency Mkoa wa Kigoma,kimeshusha Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tawi la Ujiji stendi ya zamani na kupandisha bendera ya (ACT) wakati wa...
View ArticleUBABE,UKOSEFU WA HOJA NA HEKIMA VINAIPELEKA NCHI KUZIMU!
Na Prudence KarugendoTANZANIA, tangu ikijulikana kama Tanganyika, imejivunia amani na utulivu kiasi cha kujiita kwa mbwembwe kuwa ni kisiwa cha amani, kama ilivyo kwa kisiwa cha kijani katikati ya...
View ArticleHAFLA YA MKOMBOZI COMMERCIAL BANK CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK NA CLIMAX
Kampuni ya Mabibo Beer mabibo beer wines and spirits ltd kupitia kinywaji chake cha Windhkoek na Climax ndio wadhamini wa hafla ya Chakula cha jioni iliyo andaliwa na Mkombozi Commercial Bank...
View ArticleMZEE JAMES RUGEMALILA ATOA MIL.200/- KATIKA MAHAFALI YA TATU YA SHULE YA...
Prof. Anna Tibaijuka kwa furaha akitoa neno.Kwa niaba ya Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea na Mwana hisa wa “VIP Engineering and Marketing Ltd” Mzee James Rugemalira aliyependa kuwa nasi leo lakini...
View ArticlePRESIDENT Y.K MUSEVENI ASSURES OBAMA TO RESPECT OTHERS - CNN Interview on...
President Museveni signs Anti-Gay Bill
View ArticleRIPOTI KAMILI JUU YA MALI ZA KANUMBA
Habari zinadai kuwa baada ya kifo cha Kanumba Aprili 7, 2012, mali alizoziacha zinafujwa, hakuna utaratibu mzuri wa kusimamia mamb na kwamba, uzalishaji wa sinema katika kampuni yake ni mdogo tofauti...
View ArticleCHECK HAPA CHATU ALIVYO MDHIBITI MAMBA NA KUMLA
Anaonekana Nyoka aina ya Chatu alijipinda kwa Mamba na kumbana hadi akafa Mamba hoi akitolewa ndani ya Maji Chatu huyo alianza kumla Mamba na kushangaza wakazi Baada ya mlo huo mkubwa Nyoka akichukua...
View ArticleDUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MZEE ABDALLAH NZOMUKUNDA NYUMBANA KWA MWANAE BI...
Taswira katika shughuli ya kumuombea dua Marehemu Mzee Abdallah Nzomukunda, iliyofanyika nyumbani kwa mwanae Binti Amina Abdalla ( Nashy|)huko Kurasini jijini Dar es Salaam. Baadhi ya ndugu na jamaa...
View ArticlePRESS CONFERENCE YA CHAMA CHA ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT TANZANIA ) MABADILIKO NA UWAZITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIJumatatu, 03 Machi 2014, Dar es Salaam1 . UtanguliziNdugu wana habari,Naomba nichukue fursa hii...
View ArticleMUUZA MADAWA YA KULEVYA ALIYEKAMATWA NA ZAIDI YA DOLA BILIONI 22, BASTORA NA...
Hizi ni pesa ambazo zilikuwa bado hazija hesabiwa na zilikuwa zimekadiliwa kuwa Dola Bilioni 18 na baada ya kuhesabiwa zilifikia zaidi ya Dola Bilioni 22.Katika hali ya kushangaza sana Mtu mmoja...
View ArticleMUHIMU KATIKA MAHUSIANO
Hatakama mazingira ya mahusiano yako yanaonyesha chuki, bado ni uchaguzi wako kuamua kumchukia au kumpenda mpenzi wako. Sio marazote kwenye mahusiano tunapenda tunapopendwa na kuchukia tunapochukiwa,...
View ArticleAL-SHABAB LATANGAZA MAUAJI KUPITIA FACEBOOK
Kundi la wanamgambo wa Somalia Al-Shabab limesema limewaua watu watatu ambao linawashutumu kufanya upelelezi katika mashirika ya kijasusi ya Marekani au Somalia. Kundi hilo lenye uhusiano na al- Qaida...
View Article