Ibada ya Mazishi ya marehemu Marehemu Balozi Fulgence Kazaura imeongoza na Mhashamu Methodius Kilaini
Rais Jakaya Kikwete pichani katika akishiriki katika Mazishi ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura yaliyofanyika jioni ya leo Jumamosi Marchi 1,2014 kijijini
Mh Rais Kikwete akielekea kaburini kuweka shada la maua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Balozi Fulgence Kazaura
Mama Anna Tibaijuka.
Mama Anna Tibaijuka waziri wa ardhi, nyumba na makazi akiweka shada la maua juu ya kaburi
Mjane wa Marehemu Balozi Fulgence Kazaura
Mdau George katika huzuni wa kuondokewa na Baba yake Mzazi
MATUKIO ZAIDI NA MAELEZO TUNAENDELEA BADAE....