Ni ajali iliyotokea jioni ya leo Jumamosi marchi 1,2014 majira ya ya saa kumi alasiri ambapo gari gari aina ya Semi Trela mali ya kampuni ya Zachwa Investment ya Mjini Bukoba lililokuwalimesheheni sanduku za chupa za bia zenye vileo kuanguka katika kijiji cha Kemondo.
Wanakijiji walivamia gari hilo baada ya kugundua nini kilichomo
Hakuna kifo kilichotokea baada ya gari lililokuwa limebeba sanduku za bia zenye pombe kuanguka.
Licha ya kontaina la gari kuwa limefungwa bado wananchi walifanya mikakati yao kwa kuchimba Shimo ili maji ya bia yaweze kuingia .
Baada ya hapo ikawa kama sherehe kwa wanakijiji
Wakazi wa Kijiji cha kemondo wakipata kinywaji cha bwelele.
Hiki ndicho kilichotokea baada ya Gari la bia kuanguka na wanakijiji kukusanyika na kushambulia kinywaji kilichokuwa kinatiririka kufuatia kupasuka kwa chupa za bia katika ajali hiyo.