WATANO WAONGOZA KUCHANGIA BUNGENI
Dodoma. Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu, wajumbe watano wanaonekana kuwa ndio wachangiaji wakuu katika mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo.Bunge hilo la Katiba...
View ArticleKAULI ZILIZOVUTA HISIA YA WENGI BUNGE MAALUM LA KATIBA DODOMA
Dodoma. Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.Michango hiyo ya mawazo...
View ArticlePATA KUMSIKILIZA MSANII LIL-ASHY/YOUNG ASHRAAF KUPITIA 88.5 KASIBANTE FM RADIO
Siku ya Jumatatu Marchi 10,2014 msanii WETU hapa Nyumbani Bukoba mkali Lil-Ashy ama Young Ashraaf atakuwa 88.5 KASIBANTE FM RADIO kwenye THE SCORE kwa interview na kupresent wimbo wake mpya unaoitwa...
View ArticleMTOTO WA WAZIRI AZUIA NDEGE KUTUA
Shirika la ndege la MEA lasema ndege yake iliyokuwa na abiria 71 ililazimika kurudi Beirut baada ya mtoto wa kiume wa waziri wa uchukuzi wa Iraq kuchelewa kuabiri na kupiga simu Baghdad akiomba ndege...
View ArticleBUNGE LA KATIBA LAZUIA WAANDISHI WA HABARI
Bunge Maalumu la Katiba limepitisha kanuni ya kuwazuia waandishi wa habari kuingia katika vikao vya kamati za chombo hicho, hatua ambayo inaelezwa ni kinyume na Katiba inayotoa uhuru wa wananchi kupata...
View ArticleMCHAKATO WA UBUNGE CHALINZE-TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama cha Demokrasiana Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Chalinze kimeanza mchakato wa ndani wa kupata mgombea ubunge kwa ajili ya uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Aprili, mwaka huu,...
View ArticleSkylight Band yaendelea kuwapa raha mashabiki wake, ni Ijumaa hii tena @ Thai...
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani Ijumaa iliyopita kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar... Burudani inaendelea kama kawaida tukutane tena leo jioni......ni...
View ArticleHAPPY WOMEN’S DAY
International Working Women's Day, is marked on March 8 every year. In different regions the focus of the celebrations ranges from general celebration of respect, appreciation and love towards women to...
View ArticleMTOTO WA KWANZA KUZALIWA KWA NJIA YA UPANDIKIZAJI NCHINI
Unapoingia katika nyumba ya familia ya Salehe Saidi, macho na masikio yako hayawezi kukwepa ucheshi wa kijana wa miaka 13, Jumbe Salehe. Ni kijana anayeipa tabasamu familia hiyo.Jumbe ni mwenye nguvu,...
View ArticleTZ SAKATA LA NESI FEKI KUKAMATWA
Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha...
View ArticleLEO JUMAMOSI MARCHI 8,2014 NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mwanamke wa Ki Africa, Mama anaye pata taabu sana Ikiwa leo ni siku ya wanawake duniani tutumie siku hii kuwatizama wanawake hawa ambao ndio mama zetu
View ArticleMARUK VANILLA Wafurahia Msimu wa Mavuno ya Pilipilimanga Mkoani Tanga
Muonekano wa Pilipilimanga baada ya kuvunwa.Pilipilimanga ikikaushwa juani.Pilipilimanga ikiwa tayari kufungwa na kusafirishwa.Uvunaji wa Pilipilimanga ukiendelea.Maruk Vanilla, kampuni ya wakulima wa...
View ArticleNdesamburo:Ingeitishwa kura ya maoni kabla ya Bunge la Katiba
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, amesema kabla ya Bunge la kutengeneza Katiba, serikali ingeitisha kura ya maoni ya wananchi juu ya muundo wa Muungano.Ndesamburo ambaye pia ni Mjumbe wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA ACHOMWA KISU
Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo. Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, kwa taarifa zisizo rasmi zinasema...
View ArticleMTOTO QIAN ALIYE USHANGAZA ULIMWENGU MWAKA 2012
Mwaka 2000, mtoto Qian Hongyan, aliumia katika ajali mbaya ya gari akiwa na umri wa miaka mitatu. Ili kuweza kuishi madaktari bingwa iliwalazimu wamkate miguu yake miwili na kumwekea mpira uliomfanya...
View ArticleBUNGE MAALUMU:KUNOGA KUSISAHAULISHE CHUNGU
Na Prudence Karugendo JUMA lililopita niliandika nikionyesha namna ukosefu wa hoja, hekima, umakini, busara na haki na badala yake ukatamalaki ubabe, unavyoweza kuipeleka nchi kuzimu. Nilitoa mifano...
View ArticleYANGA YAONDOLEWA MASHINDANO YA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA KWA PENATI
Young Africans imetolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na mabingwa watetezi Al Ahly kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia kumalizika kwa dakika 90 za mchezo Al Ahly ikiwa na bao 1- 0...
View Article