Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEAM KANYAWELA JUMATATU YA LEO MATCHI 10,1014 NDANI 88.5 KASIBANTE FM RADIO...

Katika jitihada za makusudi  kuwa support wasanii wa hapa Nyumbani,Kwa siku ya leo Jumatatu Matchi 10,2014 kiu ya wadau wengi ni kumsikia msanii  home boy, mkali Lil-Ashy ama Young Ashraaf akiwa ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTAZAMO WETU LEO JUMATATU MARCHI 10,1014

BUNGE LA KATIBATusipoangalia kuna hali ya hatari huko mbeleni kwa baadhi ya watu na Taifa kwa ujumla! Ucheleweshaji wa bunge la katiba kumaliza muda wake mapema, kutapelekea bunge la bajeti kuchelewa!!...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Skylight Band yatikisa jiji la Dar kwenye 'Nyama Choma Festival' ndani ya...

Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI ZA TROIKA ZA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI, PACIFIC NA JUMUIYA YA...

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala ( mwenye tai yenye rangi za bendera ya taifa) akiwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUGU HAFIDH ABADILIKA NA KUWA ALBINO BAADA YA KUMEZA DAWA

Hafidh Masokola mwenye umri wa miaka 47, mkaazi wa Tabora amedai kuwa alitumia dawa aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita kwa lengo la kutibu ugonjwa wa malaria, lakini dawa hizo zilimsababishia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO TENA KUTOKA KATIKA KURASA ZA WADAU

Basi akishapata ajira TRA huyu anajifanya mwepesi kweli kuzitumia kwa wale mabinti wa Bongo Movie.....tehe tehe tehe anajifanya kuwanunulia IST..na shida zote hizi!!! Wengine wana umeme, wako busy na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIFO CHA OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA WA KIJIJINI RUZINGA

Omulangira Ben Kataruga wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Bibi yake, Omwana Gaudencia Rugangila, kilichotokea usiku wa Jana Marchi 10,2014.Habari ziwafikie viongozi wa kiroho , Ndugu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUNJA MBAVU NA STEVE SHABIKI YA YANGA AKICHEZA NGOLOLO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZUSHI MITANDAO YA KIJAMII NCHINI WAMKERA EDWARD LOWASSA

Dar es Salaam. Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amekerwa na tabia ya baadhi ya watu wanaosambaza uzushi katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake.Lowassa alisema kuna watu wanaoendeleza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ATANGAZA KIAMA CHA MAJANGILI

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imenuia kumaliza kabisa ujangili nchini, ikiwa ni hatua ya kunusuru wanyama walio hatarini kutoweka katika hifadhi za taifa.Hakusita kusisitiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE VILLAGE TOWER ,SKY SCRAPER!!

The Village Tower, Sky Scraper!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMO KWA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALENGA.KUTOKA KWA MANGULA

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akionyesha mfano wa karatasi la kupiga kura kwa wanachama wa CCM wanaoishi kwenye kitongoji cha Ulete,Kijiji cha Muwimbi mkoani Iringa. Mgombea wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIFO CHA OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA WA KIJIJINI RUZINGA

Omulangira Ben Kataruga wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Bibi yake, Omwana Gaudencia Rugangila, kilichotokea usiku wa Jumatatu Marchi 10,2014.huko Shinyanga Habari ziwafikie viongozi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAMERA YETU MJINI BUKOBA MARCHI 11,2014

Hii ni taswira  sehemu ya mji wa Bukoba kwa juu, haya ni maeneo ya Uswahilini Bilele,ulipo Msikiti wa Jamia na Uwanja wa Uhuru.Muonekano wa majengo mbalimbali,Uwanja wa ndege na kanisa kuu katoliki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCHI 12,2014

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAMERA YETU USIKU WA JANA MARCHI 11,2014

Anaingia Ndugu Optaty Henry Katibu,mahususi kabisa kusalimiana na Wadau waliopo eneo hili.Anaonekana Mr Ben Mulokozi aka appatizer akiinuka kusalimiana na Mdau Optaty Henry.Mdau Al Amin Abdul , Mdau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUKRANI KUTOKA TANO LADIES!!

TANO Ladies wanatoa shukrani za dhati kwa watu mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuhadhimisha sherehe  ya siku ya Wanawake Duniani 2014. Shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Balozi Liberata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYANATION PRESIDENT NEW RELEASE MY CONFESSION-SUKALYRICS{HIPHOP MINISTRY}

free download mp3sukalyrics -my confession_ sukalyrics ft abba1 & vumbe-big boy_produced by_ jidembo.mp3 sukalyrics ft abba1 & vumbe-big boy

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KUWA MTOTO WA RAIS HAVUI HAKI YAKE YA URAIA

Na Robert MdoeWANA CCM wa jimbo la Chalinze wamempendekeza Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya  chama chao. Ni katika uchaguzi mdogo utakaofanyika jimboni humo kufuatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU GAUDENSIA LUGANGIRA KIJIJINI RUZINGA JIONI YA...

Mwili wa Marehemu Omwana Gaudensia Lugangira ukitolewa ndani ya Nyumba tayari ya Ibada ya Mazishi yake, iliyofanyika jioni ya leo Marchi 13,2014  Kijijini Ruhunga Ibada ya Mazishi...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>