Jacqueline Wolper, Dully Sykes, Linah Sanga, Sheta na Gelly wa Rhymes...
Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki.Mdau...
View ArticleVIDEO SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU OMWANA GAUDENSIA LUGANGIRA
Check Video hapa ilivyokuwa shughuli ya Mazishi ya Marehemu Omwana Gaudensia LugangiraVideo ya Mwisho Dk Verusi Kataruga akisoma Wasifu wa Marehemu Gaudensia Lugangira. BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE...
View ArticleMATOKEO YA AWALI JIMBO LA KALENGA KUTOKA VITUO MBALIMBALI UCHAGUZI MDOGO...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa akiwa amebebwa juu na wafuasi wake usiku huu, Match 16,2014 wakati wakisubiri matokeo rasmi kutangazwa. Kamanda wa CCM mkoa wa...
View ArticleAJALI YA GARI MAENEO YA BUNAZI -KYAKA WILAYANI MISSENYI
Gari dogo aina ya Toyota Opa ikiwa imepata ajali baada ya kugongwa na Basi.Ajali hiyo inalihusisha Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Mutukula Kuelekea Jijini Mwanza.Ni ajali iliyotokea juzi...
View ArticleCCM WAIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KALENGA KWA ASILIMIA 79.4
ILIKUWA mwezi, wiki, siku, masaa na sasa limetimia ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa kumpata Mbunge wa jimbo la Kalenga, baada ya kuzoa kura kwa asilimia 79.4 dhidi...
View ArticleRATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014
BUNGE MAALUM TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE MAALUM TAREHE 17 HADI 21 MACHI, 2014 Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma kwa ujumla kuwa...
View ArticleSumaye Akata rufaa kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kumfungia mwaka mmoja CCM
Dodoma. Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amekata rufaa Kamati Kuu ya CCM kupinga adhabu ya onyo kali aliyopewa na chama kutokana na madai ya kuanza kampeni za urais mapema kwa ajili ya Uchaguzi...
View ArticleCHOZI LA SENDEKA NI LA KIUZALENDO AU LA MAMBA?
Na Prudence KarugendoCHRISTOPHER ole Sendeka ni mmoja wa wabunge niliokuwa nikiwaona na kuwaamini kuwa wametawaliwa na uzalendo. Hilo, pamoja na hulka ya watu wa kabila lake, Wamaasai, ya kutokuwa...
View ArticleWANAHABARI WA MWANACHI COMMUNICATION KANDA YA ZIWA WAPIGWA MSASA
Aika Massawe.MWANZA MARCH,16,2014 Kampuni ya gazeti la Mwananchi imejipanga kupanua wigo wa kuandika habari kutoka kanda ya ziwa kwa kutoa vipaumbele sita ili wananchi wapate habari zinazoelezea...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MARCHI,2014
Jioni ya Jana Camera yetu ikicheck na Wadau Viunga mbalimbali vya Mji wa Bukoba. Kaunta ya Juu nje ya Jengo la Bukoba Club Mdau Ben Kataruga akitweet kupitia account yake ya Twitter ijulikanayo kama...
View ArticleMACHACHE ALIYOYASEMA JAJI WARIOBA LEO MARCH 18,2014 WAKATI AKIHUTUBIA BUNGE...
"Muungano wa Serikali mbili hauwezekani sasa. Muungano ambao tuliachiwa na waasisi wetu si huu. Waasisi walituachia nchi moja, Serikali mbili. Hawakutuachia Serikali mbili, nchi mbili. Msingi wa...
View ArticleBARAZA LA WAZEE WA YANGA LASITISHA MAANDAMANO
Baraza la wazee wa Klabu ya Yanga, leo limetoa tamko la kusitisha maandamano yao ambayo walikuwa wameyapanga kufanyika ili kushinikiza serikali kutoa kibali cha Ujenzi wa uwanja wao wa kisasa...
View ArticlePITIA HOTUBA KAMILI YA MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA BUNGENI LEO MARCHI 18,2014
TUMIA (+ -)KWA KUONGEZA NA KUPUNGUZA UKUBWA WA MANENO.HOTUBA KAMILI YA MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA BUNGENI LEO
View ArticleBUKOBA YETU LEO JUMATANO MARCHI 19,2014
Jengo la shule ya Msingi Rumuli Iliyopo Mjini Bukoba.Rumuli shule ya Msingi ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.Wakati tunapata UHURU mwaka 1961, mkoa wa Kagera ulikuwa na magazeti matatu (3) ya Rumuli,...
View ArticleMHE. MCHEMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA PAMOJA LA ACP NA...
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Mchemba (katikati) akipitia hotuba yake kabla ya kuhutubia Bunge la Pamoja la Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) na Jumuiya ya Ulaya leo Strasbourg Ufaransa. Mhe....
View ArticleMKUU WA MKOA WA KAGERA AZINDUA WIKI YA MAJI KWA KUTEMBELEA MIRADI YA MAJI...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa shilingi billion 8.2 kwa mkoa wa Kagera ili kuhakikisha wananchi wa mkoa huu wanapata maji safi na salaama na yenye uhakika katika maeneo yao hususani...
View ArticleKANYIGO YETU LEO MARCHI 20,2014
Haya ni majengo yaliojengwa vizuri kwa mfano wa ghorofa ila kwa Sasa Majengo haya yalichomwa moto kutokana na kile kinacho aminika kuwa ni wivu wa maendeleoCamera yetu ndani ya Kata ya Kanyigo Wilayani...
View Article