WARIOBA UMENIRAHISISHIA KAZI YA KUIFUFUA TANGANYIKA:MTIKILA
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amesema madai yake ya zaidi ya miaka 20 kuhusu Serikali ya Tanganyika yamerahisishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na ana imani Tanganyika...
View ArticleMWENDELEZO YANAYOJILI BUNGENI HOTUBA YA RAIS UZINDUZI WA BUNGE MAALUM LEO...
Naaam sasa Rais JK anaingia Ukumbini kwa kupitia ule mlango wa VIP- Mheshimiwa Abeid Amani Karume sasa Anaingia- Mzee Ruksa, Ali Hassan Mwinyi anaingia sasa- Jaji Mkuu wa Zanzibar, Jaji Makungu...
View ArticleLIVE MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA RAIS KIKWETE AKIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Matangazo ya moja kwa moja ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akilihutubia Bunge Maalum la Katiba.Gonga link hii hapo chinihttp://www.ikulu.go.tz/
View ArticleIF YOU ARE CHAMELEONE FAN-THEN LETS SHARE THIS MESSAGE TO YOU...
On your way to greatness you can only get there by associating yourself to winners NOT loser. I am standing against LUGOGO CRICKET OVAL on the 28Th March which I think is also a good step for our music...
View ArticleSkylight Band inakufanya uanze week-end yako kwa kutabasamu ni leo ndani ya...
Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja...
View ArticleKANYIGO YETU MARCHI,2014
Haya ni majengo yaliojengwa vizuri kwa mfano wa ghorofa ila kwa Sasa Majengo haya yalichomwa moto kutokana na kile kinacho aminika kuwa ni wivu wa maendeleoCamera yetu ndani ya Kata ya Kanyigo Wilayani...
View ArticleHOTUBA YA RAIS KIKWETE KWA UFUPI UZINDUZI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MARCHI...
- Wajumbe mhakikishe mnatunga Katiba itakayodumisha Muungano wetu- Tunahitaji Katiba itakayodumisha Amani na Usalama wa nchi yetu!- Ni mara ya TATU kwa Tanzania kuwa na mchakato wa kutunga Katiba Mpya!...
View ArticleVIDEO/PICHA YALIYOJILI NDANI YA MAISHA CLUB KWA JUMA HILI (MAMBO YA KIBAO KATA)
Kila siku ya jumatano New maisha club imekuwa na utaratibu mpya kabisa waburudani ya kipekee kabisa, baada ya ile ya xtreme deejazy yakupiga disco na drums ambayo ndio burudani namba moja kwa sasa...
View ArticleTASWIRA KATIKA PICHA RAIS JK AKIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MARCHI 21,2014
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Bunge mjini Dodom, ambapo katika hotuba yake ametumia dakika 155:46, kwa kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
View ArticleMUHIMU KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMAMOSI MARCHI 22,2014
VIA PAMOJA BLOG ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wasambazaji wa ving'amuzi vya Star Times Mjini Bukoba,Star Times wana lengo la kuifanya kila familia ya Afrika iweze kununua, kutazama, na kufurahia zaidi...
View ArticleJK anakubali kuiacha Tanzania kwenye maangamizi!
Na Prudence KarugendoMHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete ni mtu mwema sana. Ndiyo maana alipotangazwa kuwa rais wa nchi yetu kwa mara ya kwanza wananchi karibu wote walishangilia, wa chama chake, CCM, na...
View ArticlePAPA NA NYANGUMI NI MIFANO IPASWAYO KUTUFIKIRISHA
Na Prudence Karugendo NILIPOANDIKA juu ya Watanzania kuponzwa na utulivu na wema wetu baadhi ya wasomaji walinipongeza na wengine kunilaumu. Vyote viwili, lawama na pongezi, sikuvitilia maanani kwa...
View ArticleTASWIRA WAKATI WENGER AKITIMIZA MECHI YA 1,000 KWA KICHAPO NA MAUMIVU KUTOKA...
Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza mechi katika...
View ArticleFULL TIME REAL MADRID 3-4 BARCELONA
Vuta nikuvute pichani anaonekana Mchezaji wa Real Madrid, Neymar akimfanyia ubabe kwa hasira kali mchezaji wa Barcelona CescFabregas.Leonel Messi ndiye aliye ipaisha klabu yake ya Barcelona mara baada...
View ArticleWATU 4 WAUAWA KANISANI NCHINI KENYA
Watu wanne wameuawa baada ya watu waliojihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa mjini Mombasa Pwani ya kenya. Watu wengine kumi na saba wamejeruhiwa vibaya. Maafisa wa polisi katika mtaa...
View ArticleSERIKALI YA MALAYSIA YADHIBITISHA KUWA NDEGE ILIANGUKA KUSINI MWA BAHARI YA...
Huu ni ujumbe rasmi toka mamlaka za Malaysia, kwenda kwa ndugu, jamaa na marafiki wa waliokuwa abiria 239, wa ndege MH370, ya shirika la ndege la Malaysia, iliyopotea zaidi ya wiki mbili sasa. Mbali ya...
View Article