Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

TASWIRA WAKATI WENGER AKITIMIZA MECHI YA 1,000 KWA KICHAPO NA MAUMIVU KUTOKA KWA CHELSEA

$
0
0
Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza mechi katika dimba la Stamford Bridge katika mechi 76.
 Damukwanza:Mchezaji Mnyaluganda  Samuel Eto'oakishangilia a bao lake la kwanza,mwanzoni kabisa mwa mchezo huo.
Mtikisiko Jahazi la Arsenal likiwa linaanza kuzama


 Wahaya wanasema 'Ebilo tibingana'kuna wakati ofisi unatamani kuikimbia.
Mchezaji OlivierGiroudwaArsenalnaDavidLuizwaChelseawakiwania  mpira
 Full furaha kwa wachezaji wa Chelsea kama inavyo onekana pichani.
 Hii ni moja kati ya picha yenye mshtuko wa nafsi kwa wachezaji wa Arsenal.
 Sio mimi, ref!ndivyo anavyo onekana Mchezaji KieranGibbs katika kujitetea.
 Mashabiki wa Chelsea wakimpungia mikono ya kwaheri Mchezaji wa Arsanal Gibbs.
Penati iliyopigwa na Mchezaji  Eden Hazard ,mikato hii inanikumbucha kiungo wa Kashai Mac Juve.
 Vita Uwanjani kati NemanjaMaticnaTomasRosicky jitihada kila mtu na mtu,
SamuelEto'oakitolewa uwanjani kwa ajili ya matibabu baada ya kusumbuliwa na misuli
MwamuziAndreMarriner anatoa kadi nyekundi kwa KieranGibbs,lakinikwa uhalisia kadi hiyo alistahili Mchezaji AlexOxlade-Chamberlain.
 Mohamed Salah akifurahia bao.
 Fursa hii inamladhimu mtu kukaa....
 Mabadilikoya dharura wakati anaingia Mchezaji Thomas Vermaelenwa Arsenal kuchukua nafasi yaLukasPodolski.
Ushindi wa 6-0 ndio mkubwa kabisa kwa Jose Mourinho tangu alipolejea katika ligi kuu ya England.
 Heshima kubwa kwa mashabiki wa Uwanja wa nyumbani.
Chelsea wanapata bao la nne,hivi ndivyo alivyo onekana Mchezaji Oscar katika furaha yake,shabiki mahiri wa Chelsea ndugu Justuce Lugaibula anasema huyu ndiye mchezaji anayeongoza kwa tacklesnyingi uwanjani na ndiye Mchezaji machachali kuliko wachaezaji wenye umri mdogo kama wake.
 No pain, no gain, Arsene
 'Emyechocho' swagar na mbwembewe ni kingine cha ziada alicho nacho kocha  Jose Mourinho
 Ata wewe ungekuwa beki uwezi kuamini kinacho endelea, Pole Sana Kaka Mkuu E. Nyambo,pole Sana Ndg zangu  Ben Kataruga na Rama Msangi,hongera kubwa kwa Bi Mainda Kassim na Mdau Shamsu Bwikizo.


Happy anniversary, Arsene Wenger..!




Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>