Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

FULL TIME REAL MADRID 3-4 BARCELONA

$
0
0
Vuta nikuvute pichani anaonekana Mchezaji wa Real Madrid, Neymar akimfanyia ubabe kwa hasira kali mchezaji wa Barcelona CescFabregas.
Leonel Messi ndiye aliye ipaisha  klabu yake ya Barcelona mara baada ya kuifungi magoli  matatu  na kuiweka timu yake katika nafasi nzuri
 Mchezaji wa Real MadridSergioRamosanatolewa uwanjani kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Neymar ndani ya penati box
 Wachezaji wa Madrid Wa nyuma niSergioRamos (nyuma) na  Ronaldo wakishangilia bao la tatu
 Mchezaji AngelDiMaria wa RealMadrid pichani (kushoto) akijutia kitendo cha LionelMessikupata bao.
 Pamoja kuendelea kujiongezea idadi ya magoli,anaonekana kutokuwa na furaha kabisa Mchezaji CristianoRonaldo
 Man of the moment: Karim Benzema
 Neymarkatika kuwajibika Uwanjani.
 Kushoto anaonekna Mchezaji JordiAlba akiwa ameminywa .
 Majemedali wa BarcelonaXaviHernandezna kiungo mwenzake  Iniesta wakishangilia kichapo wanachotoa kwa Real Madrid
 Mchezaji wa Barcelona LionelMessi anafunga penati na  kusawazisha  3-3 Real Madrid.
 Mtiti hewani kati ya Mchezaji wa timu ya taifa ya UfaransaBenzema  na JavierMascherano.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>