Watch "VIDEO PART 1, UTEKAJI, UTESAJI, UNYAMA ULIOFANYIKA UCHAGUZI MDOGO...
Hii ni sehemu ndogo (sample) ya ushuhuda wa matukio ya ukatili, unyama na utwezaji wa uhai, maisha, utu na haki za binadamu waliyofanyiwa mawakala wa CHADEMA, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,...
View ArticleWADAU USO KWA USO NA CAMERA YETU MARCHI, 2014
Ni siku nyingine tena Mwanalibeneke nakutana uso kwa uso na wadau wakibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja, kwa ufupi falsafa yetu kupitia picha ni kukupatia furaha ya kuangalia furaha kwa...
View ArticleUZINDUZI WA JK WATUBADILISHA WENGI MTAZAMO
Na Bernard KazindukiKABLA ya uzinduzi wa Bunge Maalumu la Katiba, uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete siku ya Ijumaa, 21 / 3 / 2014, kichwa changu kilikuwa kimejaa mambo mengi juu ya mustakabali wa nchi...
View ArticleMANCHESTER UNITED 0-3 MANCHESTER CITY
Check Video ya goli la pili lililofungwa na Edin Dzeko usiku wa leo
View ArticleSITTA ‘AMKATAA’ WARIOBA BUNGENI
Dodoma. Jaribio la kutaka kumrejesha bungeni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili ajibu masuala yaliyoibuliwa na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya kufungua Bunge...
View ArticleHUKO TABORA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO
Watoto waliokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambapo chanzo chake inasemekana ni hitilafu ya umeme.Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8) na Mdogo wake Emmanuel Paul(3)ambao wamepoteza...
View ArticleMKUTANO WA WAZAZI KUINUA TAALUMA HUKO KANYIGO KIKUKWE SEKONDARI
Pichani wazazi wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano,kulia anaonekana mmoja wa Wazazi Ndg Deogratias Bunyomyo akichangia mawazo wakati wa mkutano Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari...
View ArticleWINDHOEK DRAUGHT PRESENTS BONGO MOVIE ANNIVERSARY PARTY ON FRIDAY 28,2014
WINDHOEK DRAUGHT presents BONGO MOVIE Anniversary Party featuring FM Academia, Banana Zorro Band, Linnex, Shilole, Snura & Bongo Movie Celebrities on Friday 28th 2014 @ East 24 Bar & Grill, The...
View ArticleTABIA 30 ZA MWANAMKE ANAYEWEZA KUKUFAA KATIKA MAISHA YAKO.
Mwanamke ni mama mwenye nguvu unajua kwa nini kwa sababu mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanaume baada ya Mungu kufanya yafuatayo kwa mwanaume A. Alimpa usingizi mwanaume B. Alimfanyia upasuaji C....
View ArticlePICHA YETU LEO ALHAMIS MARCHI 27,2014
PICHANI: Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto walisimamisha msafara wao na kula chakula chini ya mti baada ya kutoka kwenye kikao jijini Arusha Tanzania. Viongozi hawa walitumia usafiri wa...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU MKUU WA MKOA WA MARA UKISAFIRISHWA KUELEKEA DODOMA.
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa ukibebwa na Askarimara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Jijini Mwanza leo Machi 27,2014Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa...
View ArticleMWALIMU WA SHULE YA MSINGI AMENASWA LAIVU AKIJIUZA
Pichani Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar.Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo...
View ArticleKWA WAKINA DADA MLIOKO KWENYE MAHUSIANO
Yamkini umeshasikia usemi usemao “mbinu bora ya kuondokana na mwanaume uliyemchoka ni kutafuta mwanaume mwingine” sawa naweza kukubaliana na wewe, lakini jiulize, je kule kuondokana na huyo unayetaka...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAKUNA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Hashim Donode, Digna Mbepera, Winfrida Richard na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai...
View ArticleKAGERA YANUFAIKA NA VIFAA VYA KISASA VYA KILIMO KUTOKA DASIP ILI KUENDELEZA...
Mashine (Transplanter) ya Kupandia Mpunga kwenye Majaruba.Powertller Trekta dogo lakulimia, kubeba mizigo (mazao), Kuzalisha umeme na shughuli nyinginezo Multpurpose Machine. Mkuu wa Mkoa wa Kagera...
View ArticleHAWA NDIYO NDEGE AINA YA NYANGENYAGE WANAOZUA KIZAAZAA KATIKA KISIWA CHA...
Jamani Katika Kisiwa Kiitwacho Musila Hali ni tete kutokana na Ndege aina ya Nyange Nyange Kukivamia kisiwa hicho na kutishia maisha ya wakazi waishio katika kisiwa hicho wapatao 536. Pichani Mkuu wa...
View ArticleNEMBO YA WATANZANIA MASHUHURI
Mchora Vibonzo Mashuhuri Nchini Ndugu Chris Katembo ametengeneza Nembo Maalum na ya Kipekee ya Watanzania Mashuhuri. Ukurasa wa Watanzania Mashuhuri unatoa Shukran za dhati kwake kwa Nembo hii ambayo...
View Article