Hii ni sehemu ndogo (sample) ya ushuhuda wa matukio ya ukatili, unyama na utwezaji wa uhai, maisha, utu na haki za binadamu waliyofanyiwa mawakala wa CHADEMA, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, hasa siku ya kupiga kura, Jumapili ya Machi 16, 2014.
CHANZO:CHADEMA Kurugenzihabari
CHANZO:CHADEMA Kurugenzihabari