Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

MHE. MCHEMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA PAMOJA LA ACP NA JUMUIYA YA ULAYA

$
0
0
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Mchemba (katikati) akipitia hotuba yake kabla ya kuhutubia Bunge la Pamoja la Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) na Jumuiya ya Ulaya leo Strasbourg Ufaransa.  Mhe. Mchemba anaongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao hicho na ameitaka Jumuiya ya Ulaya kuacha kushinikiza nchi za ACP kuweka sahihi Mikataba ya Ubia wa Biashara ambayo haina tija kwa nchi za ACP. Kulia ni Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala na kushoto ni Bi. Raymold Dominic Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya ACP anayesimamia masuala ya siasa.

MHE. MCHEMBA AJIBU MASWALI KATIKA KIKAO CHA BUNGE LA PAMOJA LA ACP NA JUMUIYA YA ULAYA

 Naibu Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Mchemba akijibu maswali mbalimbali katika Bunge la Pamoja la Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) na Jumuiya ya Ulaya leo jijini Strasbourg Ufaransa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>