$ 0 0 Mwanamke wa Ki Africa, Mama anaye pata taabu sana Ikiwa leo ni siku ya wanawake duniani tutumie siku hii kuwatizama wanawake hawa ambao ndio mama zetu